Free talk: Mwanamke shtuka!

Free talk: Mwanamke shtuka!

Hapa tu ndipo sijapaelewa, nikifanya home ndio Ofisi yangu Kuu....kesho Mola akakuita....nitaanzaje kutafuta Kazi maana huko nje hata sikujui kulivyo na sina Experience nje ya Nyumbani?
Mwanaume akiongea mwanamke unanyamaza na kuitikia tu alaa!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kabisa, kusaidiana muhimu but lzm mimi niwe juu kwa kila kitu kuanzia uchumi nk. Kuhusu kipato chako kitasaidia nikitetereka.
Sio tu nitakuruhusu biashara au kazi bali nitakuwezesha kukujengea uwezo katika kazi hizo.
Tukubaliane tu ukweli ni kwamba wengi wenu ke mnapoona me tunauwezo mnabaki kutaka mavazi, magari ili muonekane mko juu na hamfikirii kuhusu kesho yenu na familia.
Pesa zenu nazo tamu mnoo kuzitumia jamani, ingebidi wote muwe na pesa na msife kabla yetu ili tuzitumbue weeeeee[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Mwanaume akiongea mwanamke unanyamaza na kuitikia tu alaa!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
No no noo, mwanamke wa ndio hata kama ni hapana, mimi simtaki.
Nataka chalenji but yenye staha na upole.
Sitaki aina ya mwanamke wa kimasai wa kuitikia kila kitu eeeeeee!
Hapana
 
Back
Top Bottom