Habari za mchana huu members?Binafsi huwa navutiwa sana kimapenzi na msanii wa kike Irene Paul.Nimeweka nadhiri pindi ntakapopata wasaa nae japo dakika 5 tuu,Ntamfungukia ile mbaya kudadadeki zake...Basi sio mbaya tukishare chai mbili tatu na wewe member mwenzangu,,,Ni msanii gani anaekuvutia,unaetamani one tym mpige japo Free P?