Upo sahihi! Mambo ninayoandika jf siku tukionana nitakua naangalia chini kwa aibu sithubutu kukuangalia usoni😂Ila ukiwaza sana humu JF matusi yanayotukanwa au kutukanana nje ya JF ni watu wengine tofauti kabisa.. maana hata sura hazielekei kama tuna midomo michafu 😆😆😆
Au nasema uongo mdogo wangu...
ephen_
Bwashee 😅😅 mnapenda mtu ateseke 🤣 ngoja leo nilewe vizuri niwape stress gademitt 😅
Bwashee 😅😅 mnapenda mtu ateseke 🤣 ngoja leo nilewe vizuri niwape stress gademitt 😅
😁😁😁Upo sahihi! Mambo ninayoandika jf siku tukionana nitakua naangalia chini kwa aibu sithubutu kukuangalia usoni😂
Tukiwa humu tunajiachia kwa raha zetu😁😁😁
Kwani sikujui? Au hunijui? Sema tuu hizi Id zinapunguza makali...
Kwakweli stress free zone...Tukiwa humu tunajiachia kwa raha zetu
Siku ukiwa na stress unahitaji mtu wa kugombana nae, muanze de gunner anawahi kujaa utamtukana huku unacheka.Kwakweli stress free zone...
Unamporomoshea mtu maneno mbofu mpaka unajikataa
Huyo tushachambana tayariSiku ukiwa na stress unahitaji mtu wa kugombana nae, muanze de gunner anawahi kujaa utamtukana huku unacheka.
Eeeh! Kumbe tayari basi kashindikanaHuyo tushachambana tayari
something is wrong somewhereEeeh! Kumbe tayari basi kashindikana
Oya mleta mada kumbe ni upinde 🥲Takataka hii
Umejuaje ni upinde mbamizwa supa 😂😅Oya mleta mada kumbe ni upinde 🥲
Kwa hakika wanaume marijali sasa hivi tunahesabika aisee!
Dogo anaitaita wanaume. Wasipokuwepo jukwaani basi yeye anaona hana wa kumliwaza.Umejuaje ni upinde mbamizwa supa 😂😅
Huyu huyu au em screen shot nitumie wazapu 😅 cc SeranDogo anaitaita wanaume. Wasipokuwepo jukwaani basi yeye anaona hana wa kumliwaza.
Juzi kanijia PM kwenye ile ID yangu nyingine akiomba nimdinye 🤮🗑️
Yaani nimeamua kuweka wazi upumbavu wake. Dunia yote itajua kabisa kwamba yeye ni bonge la upinde.
Nini kimetokea hamuishi vioja waja😂
Mbamizwa ndege a.ka supa anatakwa na mbamizwaji kafirula 😅Nini kimetokea hamuishi vioja waja😂
Nimemuona muheshimiwa majibu naye si haba kaachia missile kiaina, hapa nasubiri ayatolla naye aachie lake, leo zanu yenu vijana😁Mbamizwa ndege a.ka supa anatakwa na mbamizwaji kafirula 😅
Bado namshughulikia hili Shoga.Mbamizwa ndege a.ka supa anatakwa na mbamizwaji kafirula 😅