Free ICT Books

Free ICT Books

Idimi

Platinum Member
Joined
Mar 18, 2007
Posts
15,669
Reaction score
11,769
Kwa wana JF wapya, kuna kipindi Invisible aliweka link ya vitabu vya ICT ambavyo viko katika FPT server, ambavyo unaweza ku-download kwa kadri unavyotaka kwa kujiendeleza katika masuala ya ICT.
Kwa faida ya wengine pia, link ya vitabu hivyo ni hii hapa

Enjoy

Mbona siioni hiyo link wajameni?
 
Great, but very advanced ICT level. Nafikiri vinawork kwelikweli kwa higher programming learners and advanced computer sciences. Is it possible to get some books of ICT for beginners? Siunajua bongo ICT ndo inaanza.
 
Ebana eeh kukaa kwangu kote humu JF sikuwahi kuiona hii thread,Idimi ubarikiwe sana,nime kugongea senkyuu hapo juu naona jamaa wanabada za kwao.

Pamoja mkubwa!
 
Hili shavu ni vere uzifulu and av done ze nidful kwenye kale kabatani ketu. Keep it up Chief, pamoja sana!
 
😛lane: ACHA NA MIMI NIWAHI KUDOWNLOAD BEFORE IT'S TOO LATE!
Thanks Mkuu Idimi.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu hicho ndio nachopata nikifungua link hiyo..
Capture.JPG
 
Mkuu hicho ndio nachopata nikifungua link hiyo..
View attachment 91175

Naona wameifunga. Hata hivyo hiyo ni link ya muda mrefu sana, ingawa ilikuwa active hadi mwishoni mwa mwaka jana.
Ukiwasiliana na Invisible anaweza kukupa link nyingine ya kupata hivyo vitabu. Mie nili download siku nyingi kidogo, ninavyo kwenye harddisk.
 
Last edited by a moderator:
@ALL mwenye hivyo vitbu anitupie kwa email au upolad sehem tupakue,, email ni william.mathew1@gmail.com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom