Free Enterpreneur's advice: Ushauri kwa Wajasiriamali wote

Senior Boss

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
3,405
3,678
Contacts:
+255 785 365285
A Home Business Where Real People Make Real Money

Ever thought of the simplest and the most definite way to achieve FINANCIAL SUCCESS?
If your answer is NO, then you just came across the RIGHT PERSON with the RIGHT ANSWER!

You could be one of those who are still struggling to earn sufficient amount of income and spend more money than what you actually receive. In fact, more than 90% of the world's total population aren't really aware of a definite way to earn money. Instead, they settle for employment, and spend the rest of their lives working for their employers who won't even pay them what they're worth!

Consider this simple calculation: If you're working 8 hours a day, 5 days a week and 50 weeks in 1 year 1 person × 8 hours × 5 days × 50 weeks = 2,000 hours in 1 year..

Suppose you'll be working only a maximum of 40 years all throughout your life (25 years old ~ 65 years old)
2,000 hours × 40 years= 80,000 hours!

Imagine if you are paid $8 per hour, $10 per hour or $12 per hour respectively;

$8 × 80,000 hours = $ 640,000
$10 × 80,000 hours = $ 800,000
$12 × 80,000 hours = $ 960,000

The figures above could only be your maximum income potential for the next 40 Years !! Now how much do you think your Dream House cost? Your Dream Car? Or Vacation with your family abroad, Or education for your kids.
Even if you get your dreams at this rate, will you be able to enjoy at such an old age 60?

Then what is really the secret to financial freedom? Simple, it is by "MULTIPLYING OF TIME THROUGH OTHERS" (MOTTO).

Let's consider again the simple calculation above, but this time, let us multiply your time to 10 people who will be working for you.

10 People × 8 Hours × 5 Days × 50 Weeks × 4 Years = 80,000 Hours!

Take a careful look at the computation above. If there are 10 people working under you, you actually accumulate the same 80,000 Hours as when you're only working alone. The BIG DIFFRENCE is time, you will only do it for 4 years instead of 40 years. You've just practically saved 36 years of your life!

"Therefore, it is not only a matter of money you EARN, but also the time that you SAVED"

NETWORK MARKETING offers a business you can start:

· 100% guarantee NO RISK!-Believe it or not, you can start the business at a minimum investment and even free for some countries. Time is the most investment you can give here. Enough for you to learn the business.

· Multiply Your Time Through Others- Yes, through this business, you multiply your time through others!

· No Boss- You won't ever have to grant somebody else's command. You are your own boss.

· International Business Opportunity- The business is present and legitimate in more than 140 countries up-to-date. You have the opportunity of earning international income.

· Recession proof business- It survives in tough economic conditions.

· Multiple ways to Earn- Up to 10 sources of income.

· Bonuses- Earn additional bonuses every month.

· Incentives- Earn additional incentives such as Car Incentive, Travel Incentive & Profit Sharing.

· Financial Freedom-You own your time. Spend it with your family more. Spend it for vacation. Do anything you want anytime you want!

Contacts:
+255 785 365285
A Home Business Where Real People Make Real Money..
 
Mkuu mpaka hapo nisha kupata, ni mambo ya forever living hayo, ila kwa yale mafunzo yenu na mukiwawekea watu dvd za mafanikio inaoneka ni kitu rahisi but practicaly ni kitu ambacho ni kigumu sana,

tatizo lenu mnabelive kwamba ili mtu afanikiwe ni razima auze hayo madawa na kutafuta members

1, Vipi biashara ya kilimo na ufugaji?
2. Vipi hotel?

Niambie hapo network marketing inafanya kazi vipi. Hizo bonasi zinatoka wapi?

Mkuu msitake kuwaaminisha watu kwamba biashara ni kupromote hayo madawa na kutafuta members wengine ili upate bonus, vipi biashara zingine
?
 
sio kosa lako.....na siku shangai......unajua siku zote tuna tofautiana kwenye upeo.......ivi unajua kwamba hii biashara unaweza ukaanza hata kama huna sh. 5 mfukoni....what matters is ur talent and time. mimi nakutakia kila la kheri kwenye biashara zako....sina mda wa kubishana na wewe au kukuelimisha. For more details we tembelea website yangu na ujifunze kwenye hiyo video.....we chukua time zako kama unahisi haikufai....unapunguza idadi ya failures kwenye mfumo wetu.
 
acha jaziba,
ukitangaza biashara tegemea kukutana na wateja wa mitazamo tofauti sasa ukianza kauli mbovu utatukana karibu watu wote jaribu kuwa mwelewa

sio kosa lako.....na siku shangai......unajua siku zote tuna tofautiana kwenye upeo.......ivi unajua kwamba hii biashara unaweza ukaanza hata kama huna sh. 5 mfukoni....what matters is ur talent and time. mimi nakutakia kila la kheri kwenye biashara zako....sina mda wa kubishana na wewe au kukuelimisha. For more details we tembelea website yangu na ujifunze kwenye hiyo video.....we chukua time zako kama unahisi haikufai....unapunguza idadi ya failures kwenye mfumo wetu.
 
Hayo madawa yenyewe yanatengenezwa wapi?na hivi yamethibitishwa kweli?

Isitoshe na hisi huo kama utumwa vile????hivi kwani lazima madawa tu????

Binafsi mi nakwambia hiyo ngumu kama imekutoa na kama unataka kuongeza idadi ya wafuasi basi poa ila unacho niudhi ni ku simplify vitu ki ivyooo wakati sio kivileeeeeee.

Hamna rahisi ya namna hiyo man
 
Ni vizuri umeileta hii hoja.

Ila tukuulize wakati huo huyu binadamu atakuwa anaishi kwenye mazingira yapi? mfano in a developed society of developing societies.

Kwa hiyo basi ungecategorise in what extent huyu binadamu anaishi. Mfano in Australia life span ya watu wake ni avarage ya kuishi ni kati ya 80-95; years; nchi za ulaya ni 85-95; In the 3rd world countries TZ for example ni miaka 45-55 years(world Bank, 2010). This is due to medical advancement contributed to by socially constructed manner kwamba ili uchumi ukue inabidi afya ya binadamu iwe fit yaani wamehakikisha mtu haugui hovyo na kuhakikisha taifa halina watu wagonjwa bali lina wafanyakazi imara kwa kuhakikisha chanjo zote muhimu kulingana na jiografia ya mahalia pale. KWa mfano ni dhahiri utakubaliana na mimi kule Japani ndiyo nchi ya mwisho in developed world kumaliza biashara ya ugonjwa wa maleria na ni miaka ya themanini tu hapa kazi waliimaliza na sisi bado twahangaika na neti na ndui na polio.

Pia afya endelevu ni ile inayohakikisha vifo vya watoto vinakuwa historia automatically inawafanya wanwake kupunguza kuzaa na kuwa na watoto wachache. Hivyo basi kutatokea ushindani wa kufanya kazi ili kila mtu ktk familia baba au mama au vijana tena kuanzia umri wa miaka 18 anafanya kazi ili kupunguza ukali wa maisha kwa kuzidisha muda mwingi kwenye kazi kuliko kulea watoto. Anapokuja kuwa na umri wa miaka kati ya 35 na 40 ndo anapoamua kuoa kwani ana uhakika wa kuishi miaka 85-95 kwa hiyo hajachelewa kuoa. Inapokuja wao wamepata hela za kununua nyumba au kupata kazi ya uhakika sasa hapo ndo wanapnga maisha ya kuwa na familia.

Sasa ndugu yangu ngoja tuangalie yale masiha yetu hapo nyumbani: Tumezaliwa na kupewa chanjo ambayo ina tafiti duni hatuna centers for children and women kwa ajili za tafiti hizo uzazi au kwa ajili ya chanjo. Malaria chanjo yake hata hivyo ni ndoto sana sana twaipigia magoti USA watupe neti za malaria. Pia hata ukimwi chanjo yake unaijua tena hatuna heavily invested health centers kwa ajili ya magonjwa mapya kama vile ebola, ukimwi, vipanda uso n.k. Mfano wanasisa wetu walitakiwa wapate uchunguzi wa ya kina kwani hawa watu hawalali kwabisa na chi ndiyo hiyo wansafiri kwa mgari kutoka pembe ya nchi hadi kwingine badala ya kuruka kwa ndege ili kusevu time siyo na consequebces ya magonjwa ya malaria na uchovu wa akina Zito.

Kwa hiyo mpango wa afya kamambe unatakiwa uwekezwe nchini and available facilities are inadequite. Ili vizazi vijavyo viweze kufikisha miaka 70 angalau kama ulivyo recommend kwenye life investment hapo juu basi si haba taifa kuanzia sasa likawekeza kwenye afya heavily.
 
Kuna watu wanapenda kutuonyesha maisha yetu yako designed far east au kule marekani. Kwanini tusidevelop business modal yetu ya hivi tunavyozalisha? Tumekazana na vitu vya kuagiza nje tu!!! Bora Bakheresa angesema nanunua nazi,ndimu,maembe,ukwaju kwahiyo ukitaka kuwa mjasiriamali njoo nikuonyeshe ntakwenda. Sio haya madudu ya kukopy na kupaste kila sehemu ya dunia hii hata kama hayafanyi kazi.
 
sio kosa lako.....na siku shangai......unajua siku zote tuna tofautiana kwenye upeo.......ivi unajua kwamba hii biashara unaweza ukaanza hata kama huna sh. 5 mfukoni....what matters is ur talent and time. mimi nakutakia kila la kheri kwenye biashara zako....sina mda wa kubishana na wewe au kukuelimisha. For more details we tembelea website yangu na ujifunze kwenye hiyo video.....we chukua time zako kama unahisi haikufai....unapunguza idadi ya failures kwenye mfumo wetu.

mkuu hapo hujaniambia kitu, naomba unijibu hili.
1. Nyie mnaamInisha watu kWamba biashara ni kuuza hayo madawa na vipodozi na business zingine zote hazifai.
2. Nilikuuliza nikiwa na investment yangu katika kilimo hiyo Bonusi inafanya vipi kazi hukunijibu.

HALAFU MNACHAKACHUA STORY ZA MAFANIKIO MNAWEKA KATIKA DVD NDO MNAWALETEA WATU HUKU, HIZO STORY ZA MAFANIKIO NI ZA KUTUNGA HAMNA KITU HAPO

HUKU ARUSHA MNA OFISI ZENU PALE BLUE ROCK KUNA WADADA WALENDA PALE WAKAONYESWA DVD WAKAAMINI KWAMBA WAKUIZA HAYO MADAWA WATANUNUA RANGE ROVER NA KAZALIKA, NA NIPO ANDIKA MIDA HII WALE DADA WAMESHINDWA MAKE NI NGUMU MNO, KUWACONVISE WATU WANUNUE DAWA YA MENO KWA ELFU 12 WAKATI WANAWEZA NUNUA KWA BUKU 1 NIKITU KIGUMU SANA.

MIMI C PINGI BIASHARA YENU YA KUUZA MADAWA YA WAMAREKANI NINACHO PINGA NI NYIE KUTOA ELIMU YA UJASIRIAMALI KWAMBA WATU WOTE ILI UFANUKIWE KATIKA MAISHA BASI INGIA KATIKA HII MODO.
JE DUNIANI NZIMA WATU WAKIFANYA HII BAISHARA ITAKUWAJE?
 
Kuna watu wanapenda kutuonyesha maisha yetu yako designed far east au kule marekani. Kwanini tusidevelop business modal yetu ya hivi tunavyozalisha? Tumekazana na vitu vya kuagiza nje tu!!! Bora Bakheresa angesema nanunua nazi,ndimu,maembe,ukwaju kwahiyo ukitaka kuwa mjasiriamali njoo nikuonyeshe ntakwenda. Sio haya madudu ya kukopy na kupaste kila sehemu ya dunia hii hata kama hayafanyi kazi.

you have said it all

im off to something else now
 
Kuna watu wanapenda kutuonyesha maisha yetu yako designed far east au kule marekani. Kwanini tusidevelop business modal yetu ya hivi tunavyozalisha? Tumekazana na vitu vya kuagiza nje tu!!! Bora Bakheresa angesema nanunua nazi,ndimu,maembe,ukwaju kwahiyo ukitaka kuwa mjasiriamali njoo nikuonyeshe ntakwenda. Sio haya madudu ya kukopy na kupaste kila sehemu ya dunia hii hata kama hayafanyi kazi.

Nimekugongea thanks,
Kwa nini tusi-promote mlenda wetu, kwa nini tusile maboga yetu, sisi home majani ya chai tunachuma porini na watu wana afya njema, lakini kwa sababu tumejikataa, tunatukuza vya huko wapi sijui. Nikiwa shule ya msingi tumetumia mdaa, na meno yakawa meupe, mbona leo baada ya kupewa makaratasi yameandikwa level za elimu tulizo nazo tunakataa kula simbilisi/ndezi? hivi mahotelini tunavyokula vyote tunavijua?

Naamini kauli ya Ndahani hapo juu, kuwa tukipromote vitu vyetu vya hapa tutafanikiwa zaidi kuimarisha afya zetu na uchumi kadharika.
 
Business model ya hawa jamaa iko vizuri sana,TATIZO huwezi apply ukitwa bongo,underdeveloped world. dawa ya meno 12,000 ,sijui shampoo 10000,sijui Aloevera nonino 50000 etc.
hzi bei ziko kinyume na uchumi wetu kabisaaa.
ili uwe member inabdi utoe laki 3.5 au laki 7. hivyo basi inabidi uingize watu mkenge wawe members etc.
mimi sina maneno na bidhaa wanayo uza,kwani kununua ni hiari yako.
KINACHO NIKERA ,HUU MFUMO WA MULTI NETWORK MARKETING KWA BIDHAA ZA KUAGIZA NJE.HAUJENGI UCHUMI WETUU KABISAA.
embu jaribu kupeleka system yako ya multi level ulaya au USA kwa kuuza kahawa organic from Africa ,hapo ndipo utakapojua upeo na uwezo wa wenzetu,
watakufukuza na kukufungia usitie tena mguu nchini kwao.
 
Hizi basically ni SCAM zinaitwa multi level marketing, watakao kusanya pesa ni hao walioanzisha. Hata ukiangalia hizo hesabu zimekaa kidanganya toto sana, hao watu kumi hawahitaji kulipwa? Biashara haina expenses? Watu kumi wote watafanyikiwa kwenye mauzo constantly? Kuna demand ya kutosha kusupport auzaji wote?

Kama walivyosema wengine ni bora kuangalia mazingira yako mwenyewe kisha kuona kama watu wana matatizo ambayo unaweza kuyatatua na ni kiasi gani wako teyari kukulipa.
 
The only way to success is to repeat the failures until there are no more failures. Try again and again and again.
 
kaka mimi sikulazimishi kufanya hii biashara....mimi nakupa a sincere brotherly advice....usisikilize ya watu live your life and your success and future is on your hands.....mimi nakushauri seriously kaa chini devote hata week nzima uichunguze hii biashara especially ya Forever Living Products....chunguza kwanini watanzania wengi wamefail kwenye hii biashara na wachache wanafanikiwa....jiulize kwanini watu wa nchi za nnje wengi wanafanikiwa?? Mimi ni mtu mzima ni intellectual nimemaliza mafunzo ya chuo mwaka jana....ninajua nacho kizungumza.....hakuna biashara au kazi huku duniani iliyo RAHISI.....yote ni malengo na kujituma kwa bidii......istoshe hii biashara ni pana sana......una uwezo wa kushikilia a stake in tha global market cause ina span in 150 countries. Ni fursa gani hapa duniani inayokuwezesha kukuza biashara yako in 150 countries on comfort of your own home?? Amini hakuna nakwambia.....kwa habari zaidi tembelea my website A Home Business Where Real People Make Real Money private message me if you have any questions.

Thanks & Goodluck in advance.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom