Hoja hapa ninayoiona,usifanye kazi peke yako,anza kidogo ajili watu wakusaidie kazi,jinsi biashara yako inavyokuwa,jenga team katika biashara zako mbalimbali za kilimo,ufugaji,n.k.sio lazima uajiliwe huko ndo utatoka.mafanikio nia njisi unavyotumia watu smart zaidi wakufanyie kazi.