VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Mkuu labda kama wakumbwe na Bad Leadership Syndrome ya Waafrica, sababu hiyo port yao tu wakiifanya free port Zanzibar inayo potential ya kuwa business hub ya Africa Mashariki na sisi wote tungekuwa tunafata bidhaa zenji na sio Dubai...,Zanzibar's issue go way beyond Muungano. Zanzibar seceding from the union will not change their economic situation contrary to what they want to believe. Wajitenge kwa sababu zingine ila si uchumi.
lakini saying that Tanganyika ina potential ya kuwa tajiri zaidi ya majority ya nchi za Europe..., lakini as you know Ufisadi and nothing between our ears inatufanya tubaki masikini (but since Zanzibar is small it can be easily managed)