Frederick Sumaye na kusaidia upinzani

Frederick Sumaye na kusaidia upinzani

Wachaga watazidi sana kututawala katika biashara Tanzania kama hivi ambavyo Mbowe alivyofanya biashara ya kuuza chama kwa kuwaweka BOND wanywa viroba

duh, naogopa ku-comment hapa Huko Nigeria katika miaka ya1970 ilianza hivi hivi pale WAIBO walipojaribu kujitenga.
 
Fredrick Sumaye nahitaji nikukumbushe ile hoja yako wakati unakihama chama chako.ccm ulisema umekucha kusaidia upinzani ili uwe na nguvu.

Sasa napenda nikuulize swali hivi kwa sasa unamushauri nini mbowe?aedelee kubaki kuwa rubani wakuedelea kubadirsha via angani au apumuzike kabisa? ili kukinusuru chama.

Mbowe anawasumbua sana ccm kwa umahiri wake hadi CHADEMA kuweza kupata kura nyingi kuzidi ccm ndio maana mnataka aondoke ili CDM ipwaye!
 
Kauli ya Mr. Zero akiwa Waziri mkuu: MKICHAGUA UPINZANI TUTAWANYIMA MAENDELEO. Kauli ya Mr. Zero akiwa Kampeni Manager wa Lowasa: Watanzania mlikosea, mlitakiwa kuchagua upinzani miaka za nyuma kwa kuwa CCM haijawaletea maendeleo yoyote. KWELI MR. 0 AT WORK.
 
Wachaga watazidi sana kututawala katika biashara Tanzania kama hivi ambavyo Mbowe alivyofanya biashara ya kuuza chama kwa kuwaweka BOND wanywa viroba

I wish ninge pata ufahamu wa elimu yako. Huna akili hata kidogo.
 
wenye chama tunataka aendelee nyinyi ccm kaz kupayuka tu, au kwakuwa munamuogopa sana, kutoka 26% 2010 hadi 39.8% 2015 unataka mwenyekt afanyaje tena? aje awalishe kwenu na familia yenu? acha upoyoyo
umenifurahisha kukubali Lowasa alipata 39%,miaka ijayo unaweza kuwa mwanasiasa mzuri,ucpelekeshwe..
 
Fredrick Sumaye nahitaji nikukumbushe ile hoja yako wakati unakihama chama chako.ccm ulisema umekucha kusaidia upinzani ili uwe na nguvu.

Sasa napenda nikuulize swali hivi kwa sasa unamushauri nini mbowe?aedelee kubaki kuwa rubani wakuedelea kubadirsha via angani au apumuzike kabisa? ili kukinusuru chama.

Ushauri wake haujasaidia lolote. Huyu atarudi CCM kwa magoti kama Njelu Kasaka.
 
Nimecheka mpaka nimepaliwa,vipi Mzee wa Kuishiwa Pumzi anasemaje now,na yule aliyekuwa Mwenyekiti wa Wenye viti
 
Mijitu kijinga humu badala ya kuwaza nchi yetu bado mnajadili uchaguzi ulioisha
Tujenge nchi
 
Wezi wakubwa nyie, mwizi wa kuku anatiwa kiberiti, hivyo ninyi mnastahili maradufu! Ukweli mchungu huu hapa: LOWASSA-62%, Mtu wenu-37%. Wizi ni fedheha, siyo jambo la kujionea fahari! Ndiyo maana mmekosa hata ujasiri wa kupita mitaani kushangilia!

Hivi kweli na wewe na akili za kuazima kweli,hivi lowassa kashinda wapi? ccm waliwanunua mawakala wote wa chadema? au unaimba wimbo wa mbowe? upate wabunge 35 na rufaa 5 mwenzako kapata zaidi ya wabunge 165 halafu wewe ushinde inawezekana wapi? muwe mnaongeza na zenu
 
haya machaga na mamasai yenyewe yalidhani kura zinapigwa moshi na arusha tu..yameumbuka balaa
 
Fredrick Sumaye nahitaji nikukumbushe ile hoja yako wakati unakihama chama chako.ccm ulisema umekucha kusaidia upinzani ili uwe na nguvu.

Sasa napenda nikuulize swali hivi kwa sasa unamushauri nini mbowe?aedelee kubaki kuwa rubani wakuedelea kubadirsha via angani au apumuzike kabisa? ili kukinusuru chama.

Sumaye mjanja sana, ye bado ana hadhi ya waziri mkuu mstaafu, hana cha kupoteza na hata uwanjani akienda anapokelewa kwa heshima ile ile sema labda aibu tu ndio inamsumbua kwa sasa.
 
Wezi wakubwa nyie, mwizi wa kuku anatiwa kiberiti, hivyo ninyi mnastahili maradufu! Ukweli mchungu huu hapa: LOWASSA-62%, Mtu wenu-37%. Wizi ni fedheha, siyo jambo la kujionea fahari! Ndiyo maana mmekosa hata ujasiri wa kupita mitaani kushangilia!

ushahidi please, bila shaka utatufaidisha wengi
 
Sumaye mjanja sana, ye bado ana hadhi ya waziri mkuu mstaafu, hana cha kupoteza na hata uwanjani akienda anapokelewa kwa heshima ile ile sema labda aibu tu ndio inamsumbua kwa sasa.
sumaye aliover do siku ile anakanyaga kadi za ccm,nikajua huyo ni double agent
 
Back
Top Bottom