Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta
acha wivu wa kike. ..nani alikuambia ukisoma sana unakuwa tajiri. ..nenda kariakoo uone wasiosoma walivyo matajiri wakubwa. ..shuleni walikuwash brain ndio maana unachukia matajiri
 
Tajirikeni maana utajiri na mali zote ni za Mungu. Umaskini na uduni wa maisha ni hila na furaha ya shetani. Mshike Mungu ukatae Umaskini
 
Kama Magufuli anafaa lakini mwenyekiti wa chama chake hafai (kutokana na maoni yako) unategemea ataongoza vipi??!!

Maana yangu hatujikiti kuzungumzia viongozi waliopita tunataka tuongelee ya hawa wanao taka kwenda kutuongoza! Kwa nyongeza magufuli haongozi kwa kumtegemea kikwete kila mtu na Namna yake ya uongozi!
 
aisee kwa kweli ni hatari na ni huruma kwa kweli.kwa vyama vya upinzani wa miaka 23 plus hawna mgombea isipokuwa lowassa??? walikuwa wanafanyia nini ruzuku kwa maaana ya kuandaa vijana machachari kusgombea urais??dahhhh kwa kweli bongo hakuna kitu kinaenda sawa yaani miaka 23 na the best opposition could do is to adopt leftovers from rulling party!!!

Umelonga professor
 
Wanajamvi,

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Unazungumzia Hyatt ipi hapa The Kilimanjaro Hyatt regeancy au Park Hyatt?
Ndugu, kweli kabisa umekaa ukaandika hivi? Hata kauchunguzi kidogo hamna?
Tusiwe hivi kwa kweli, unaweza ukahoji utajiri wake ila sio kwa kupakazia hata kwa vile ambavyo hausiki
 
Kwanini na wewe usiwape wanao utajili wa kupindukia?
 
wapumbavu pasco na mbilikimo nyerere ndo mnahaminishwa kuwa shivacom ni ya sumahiya,,,,poleni sana

Pili,alphatel imeusika kukwepa kodi na kuuza vocha feki: hiyo siyo biashara halali:

Wote wawili hamumjui Freddy,,mnajipendekeza: Nifafanunulieni nyumba ya Malta ya mkwewe Lowassa: ameinunua kwa dola 390,000:

Kabla mapovu hayajawatoka nitajie tu jina la huyo mkewe kama kweli unamjua,

PASCO kumbe we ni sawa na Yericho,pole sana

Shivacom ni ya ROSTAM, nasema kwa SAUTI KUBWA na vielelezo vipo: Sumahiya is just a beneficiary;

Mnajifanya mna data za nchi,,kumbe Posta mmeiona juzi juzi

Safi Saaanaaa jibu Sahihi wakuja utawajuwa tu filimbi nyingi kumbe ni hata Mzizima bado wageni
 
Acha ujinga, wewe unatoka familia ya maskini wa pesa na akili ndiyo maana unashangaa fredy Lowasa kuwa tajiri.

yye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta[/QUO
 
Muungwana hang'atwi na nyoka mara mbili kwenye shimo moja. Tumeshamjua vema, na wizi wake tunautambua vizuri tu, hatuwezi kuthubutu kumpa kura ili akashikie funguo za hazina zetu ili atutie hasara tena
 
Nilidhani unasema ana utajiri wa kuiba ama kupora, kumbe ni mfanyabiashara halali Tanzania na ni mlipakodi mzuri ambae taifa linamtegemea,

Kwakukusahihisha tu nikuwa Shivacom ni ya Tanhil Somaiya,

Usiwe na wivu wa kike fanya kazi halali uyajenge maisha yako kijana,

Acha kujipendekeza.
 
Mkuu mchokonozi, acha uchokonozi wenye maurongo!, mmiliki wa shivacom ni Tanil somaiya na sio RA!. Hata ukisema kweli 99 ukachanganya na uongo mmoja tuu!, huo uongo utafanya hizo kweli zote 99 kuonekana ni uongo mtupu! kwa formular ya samaki mmoja akioza!.

Hii haisaidii kitu!, it is too little, too late!, Lowassa ndio rais wetu, watu wa mamuzi waliishaamua kitambo, hata mseme nini, haitasaidia kitu!, its never gonna change a thing!.

Unakabili
wa na tatizo la wivu wa kike wa umasikini wa kuwa na chuki kwa kila mwenye nacho!, sisi wengine ni umasikini tumezoea, tena ni masikini jeuri, kama Kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!, hatuna wivu na wenye nacho, ndio maana tumewakaribisha kwetu!, tumeridhika na umasikini wetu ndio maana kila siku tunaendelea kuichagua CCM huku ikituzidishia tuu huu umasikini!, ila tarehe 25 October, tutasema basi!.

Ila
na wewe if you can, just get rich or die trying!.
If you can't, I feel
sorry for you!, acha
wivu!.

Pole!,

Pasco

Wewe ni kanjanja.
 
Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta

Tupe na Wa rizmoko mswahili Wa msoga
 
Haya sasa tupe ya yule mbunge wa somewhere Chalinze, na utueleze hiyo familia utajiri wake wa kutupwa umetoka China au ?

Acha maneno matupu, weka ushahidi wa ownership documents. Bila hivyo hutofautiani na kasuku kusema asiyoyaelewa
 
Type na wa Rizwan tulinganishe, nayr ana kadegree kamoja mbali ya dili za sembe wao wanamiliki pia Belila Kempiski Serengeti
 
kila MTU Mungu amembariki Kwa jinsi yake omba nawe utapewa acha wivu
 
:bange:Inawezekana ni kweli au si kweli, ila kwa bahati nzuri maji yameshachemka, Unga tumeshatia na tayari enzymes zimesha andaliwa kuona Lowassa akikabidhiwa kijiti cha urais awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mnao endelea kuweweseka, Kalaga bahoooooooooo!!!
 
Back
Top Bottom