Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Hayo ndio Matunda ya ccm na kama anataka kuwa Raisi arudishe kwanza Mali zote alizo ibia wananchi ndipo aje kuomba Mabadiriko kamili lakini kwa pumba zake hizi atawapata mabwege tu
 
Baba yangu ni marehemu,,alinilea kusimamia haki na utajiri wa fikra sio mali

Utajiri wa fikra????Wenzako wana utajiri wa kumiliki vitalu vya dhahabu na mahotel makubwa ya kitalii wewe unakuja hapa na utajiri wa fikra???Haya tumia huo utajiri wako wa fikra kununulia chakula familia yako uache kulalamikia utajiri wa fedha wa wanaume wenzako.
 
Hilo kwetu siyo muhimu hatakidogo. cha muhimu kwa sasa CCM OUT, baada ya hapo ndiyo tuanze kujadili hayo mambo yako.

unadhani utakuwa na huo muda wa kujadili vitu vingine wakati ushauza nchi....st...d!
 
upande mwingine ni Magufuli,,mtoto wake aliumwa akafia muhimbili sio nchi za nje: sina data zake zaidi,,,kama unazo mwaga hapa.

Kikwete ameshamaliza muda wake,,sina time naye tena: najadili wanaotaka kutuongoza
Kama jamaa alikuwa ametelekeza familia yake,je huo nao ni mfano wa kuigwa?
enzi za kumsifia maskini eti alikuwa mwadilifu umepitwa na wakati.
Huwezi kuniambia waziri wa tanzania,mbunge wa miaka 20 anakosa fedha ya kutibia mtoto wake
india? you must be joking!!!

Sikatai kufa ni mipango ya Mungu,lakini si wote wanaolazwa muhimbili wanakufa
sema muhimbili hakuna dawa,kama na waziri hana fedha ya kununua dawa
kwa ajili ya mwanae hiko ni kituko.

Namkubali magufuri kwa utendaji wake ila sifa ya kuwa maskini siiungi mkono
labda kama ana familia nyingine inayofaidi matunda ya uwaziri hapo nakubali.
 
Nani kawarogaa hata mbele wala nyuma hamuoni yawezekana weng mnaishi mijini na hamhijuî tanznia yote ndo mana mnaleta ushabiki wa 54years ago bila kuona kama kuna maendeleo au lah mnatuma post mkiwa na glas ya juice mkononi mnashabikia maisha duni ya sisi tulio wengi hakka mtakuja ishi maisha kama yetu na ss kama yenu.
 
Kalete na ya ridhiwan kwanza ndio tutakuelewa

~Panone ana hisa 98.2%
~Tanzanite 95% makaburu 5
~Mwadui 95.5%
~Mtwara gas 78.2%
~Simba Trust 80%
~Mashamba ya Miti kule Iringa zaidi ya Ekari 400.
~Scania,canter,na magari mengine ya mizigo zaidi ya 200

Hizo ni zinazofahamika na wananchi wengi,unafikiri anavyoitwa Bilionea wa Msoga wanakosea?
 
~Panone ana hisa 98.2%
~Tanzanite 95% makaburu 5
~Mwadui 95.5%
~Mtwara gas 78.2%
~Simba Trust 80%
~Mashamba ya Miti kule Iringa zaidi ya Ekari 400.
~Scania,canter,na magari mengine ya mizigo zaidi ya 200

Hizo ni zinazofahamika na wananchi wengi,unafikiri anavyoitwa Bilionea wa Msoga wanakosea?[/QUOTE

Hv ridhiwan anafanya kazi wapi??
C kamaliza shule juz tu au alipewa penshen yake kabsa
 
Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta

We utakuwa kibaraka wa Panone.
 
Sijui ameajiriwa wapi hata,ila huo utajiri wote kaupata katika awamu hii hii kiurahisi kabisa.
 
Mlisemaga Richard sasa Fred,sasa sijui tuelewe nani?huwezi kuzuia Lowasa kwenda ikulu kwa maneno mepesi hivyo.
 
Mzee mwanakijiji ni Mnafiki sana, habari hii ya Kimbea kaLike😎
 
Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta

Acha ujinga kaka Baba ake mzee E. Lowassa anauchukia umaskini hii ndio falsafa yake, Ww kwa akili yako unafikili mtu kama Lowassa atalea mtoto wake alafu awe maskini? tafuta hoja nyingine hii hoja ulisha jibiwa na baba yake, hivyo bc mpe kura Mh Lowassa ili tuwe kama Fred kaka achana na unafiki
 
Back
Top Bottom