Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Familia yako ndo ilichelewa kufikiri utajiri,mngewaza vema hata nyie mngekuwa nazo. lowassa alikua na maono ya mbali ndo maana aliwekeza mapema, chuma hunoa chuma, tajiri humfanya mwenzake tajiri,rostam rafiki Wa lowasa; wewe rafiki yako nani?, tafuta hela sio kushangaa mataa mjini, fikiri kabla hujafikiriwa
Sijawahi kuona rofa Jf kama wewe.
 
Mkuu mchokonozi, acha uchokonozi wenye maurongo!, mmiliki wa shivacom ni Tanil somaiya na sio RA!. Hata ukisema kweli 99 ukachanganya na uongo mmoja tuu!, huo uongo utafanya hizo kweli zote 99 kuonekana ni uongo mtupu! kwa formular ya samaki mmoja akioza!.

Hii haisaidii kitu!, it is too little, too late!, Lowassa ndio rais wetu, watu wa mamuzi waliishaamua kitambo, hata mseme nini, haitasaidia kitu!, its never gonna change a thing!.

Unakabiliwa na tatizo la wivu wa kike wa umasikini wa kuwa na chuki kwa kila mwenye nacho!,
sisi wengine ni umasikini tumezoea, tena ni masikini jeuri, kama Kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!, hatuna wivu na wenye nacho, ndio maana tumewakaribisha kwetu!, tumeridhika na umasikini wetu ndio maana kila siku tunaendelea kuichagua CCM huku ikituzidishia tuu huu umasikini!, ila tarehe 25 October, tutasema basi!.

Ila na wewe if you can, just get rich or die trying!.
If you can't, I feel sorry for you!, acha wivu!.

Pole!,

Pasco
Paskali nimependa sana paragraph ya pili ulichoandika!

Unajua kwenda na upepo sana...
 
Mayalla alipata kusema
 
Familia yako ndo ilichelewa kufikiri utajiri,mngewaza vema hata nyie mngekuwa nazo. lowassa alikua na maono ya mbali ndo maana aliwekeza mapema, chuma hunoa chuma, tajiri humfanya mwenzake tajiri,rostam rafiki Wa lowasa; wewe rafiki yako nani?, tafuta hela sio kushangaa mataa mjini, fikiri kabla hujafikiriwa
Nalo neno...
 
Kumbe pasco alikuwa timu Lowassa.
Ndio maana msukuma mwenzake alimuwekea kinyogo pamoja na kujipendekeza kwake kote.
Pasco yeye ni mtu wa maslahi hua anasoma upepo wa pesa unapoelekea na yeye anavurumushia humohumo ila kwa Edo alipuyanga.
 
Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta
Duuu
 
masikini pasco! baada ya kujificha kwa muda mrefu sasa umeamua kuja front kutetea mkate wako! kila la heri kwenye hili galasa ulilochagua!lets hop no one has an ACE in CCM.., maana kwa mwendo unavyokwenda.., waweza kosa mti wa kuparamia november 2015!

Ushauri wangu kama mwanajamvi.., penda kwa kiasi, shabikia kwa kiasi, sapoti kwa kiasi, hakuna haja ya kujiapiza..,
Duuuuu
 
Mkuu mchokonozi, acha uchokonozi wenye maurongo!, mmiliki wa shivacom ni Tanil somaiya na sio RA!. Hata ukisema kweli 99 ukachanganya na uongo mmoja tuu!, huo uongo utafanya hizo kweli zote 99 kuonekana ni uongo mtupu! kwa formular ya samaki mmoja akioza!.

Hii haisaidii kitu!, it is too little, too late!, Lowassa ndio rais wetu, watu wa mamuzi waliishaamua kitambo, hata mseme nini, haitasaidia kitu!, its never gonna change a thing!.

Unakabili
wa na tatizo la wivu wa kike wa umasikini wa kuwa na chuki kwa kila mwenye nacho!, sisi wengine ni umasikini tumezoea, tena ni masikini jeuri, kama Kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!, hatuna wivu na wenye nacho, ndio maana tumewakaribisha kwetu!, tumeridhika na umasikini wetu ndio maana kila siku tunaendelea kuichagua CCM huku ikituzidishia tuu huu umasikini!, ila tarehe 25 October, tutasema basi!.

Ila
na wewe if you can, just get rich or die trying!.
If you can't, I feel
sorry for you!, acha
wivu!.

Pole!,

Pasco
Naendelea na My Tribute to this fallen hero, Mwamba wa Kaskazini, kwa kujikumbusha baadhi ya mabandiko yangu kumhusu shujaa huyu mpaka siku atakapo pumzishwa kwenye makao yake ya milele, let's celebrate the life and the times of Edward Lowassa.

RIP Shujaa Laigwanani Comred Edward Ngoyai Ole Lowassa,

Umepigana vita vilivyo vitakatifu, Mwendo umeumaliza,
Imani umeilinda.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa,
Jina Lake Lihimidiwe!.

Paskali
 
Mkuu mchokonozi, acha uchokonozi wenye maurongo!, mmiliki wa shivacom ni Tanil somaiya na sio RA!. Hata ukisema kweli 99 ukachanganya na uongo mmoja tuu!, huo uongo utafanya hizo kweli zote 99 kuonekana ni uongo mtupu! kwa formular ya samaki mmoja akioza!.

Hii haisaidii kitu!, it is too little, too late!, Lowassa ndio rais wetu, watu wa mamuzi waliishaamua kitambo, hata mseme nini, haitasaidia kitu!, its never gonna change a thing!.

Unakabiliwa na tatizo la wivu wa kike wa umasikini wa kuwa na chuki kwa kila mwenye nacho!,
sisi wengine ni umasikini tumezoea, tena ni masikini jeuri, kama Kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!, hatuna wivu na wenye nacho, ndio maana tumewakaribisha kwetu!, tumeridhika na umasikini wetu ndio maana kila siku tunaendelea kuichagua CCM huku ikituzidishia tuu huu umasikini!, ila tarehe 25 October, tutasema basi!.

Ila na wewe if you can, just get rich or die trying!.
If you can't, I feel sorry for you!, acha wivu!.

Pole!,

Pasco
Miaka tisa baadaye... EL perished
 
We hutakaa uteuliwe tupinge
 
Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta
Hiki kizazi hiki????
Mungu anawaona
 
Siyo vizuri kuhusisha afya ya mtu na uchawi inakuwa kama unanyanyapaa mgonjwa halafu zingatia anayepanga wewe upate mtoto wa aina gani ni mwenyezi mungu,
 
Nilidhani unasema ana utajiri wa kuiba ama kupora, kumbe ni mfanyabiashara halali Tanzania na ni mlipakodi mzuri ambae taifa linamtegemea,

Kwakukusahihisha tu nikuwa Shivacom ni ya Tanhil Somaiya,

Usiwe na wivu wa kike fanya kazi halali uyajenge maisha yako kijana,
Ofcourse tabia ya kuchunguza watu na kulinganisha ni kama uchawi tu na umbeya
 
Kuna watu wanadhani kuwa MASIKINI ndo sofa..that is pathetic!!!
In a country well governed, poverty is something to be ashamed of, In a country badly governed, wealth is something to be ashamed of.

Kwanini ?!!! In a corrupt country most wealthy (especially that acquired by public servants) has been done so in dishonest ways......
 
Naendelea na My Tribute to this fallen hero, Mwamba wa Kaskazini, kwa kujikumbusha baadhi ya mabandiko yangu kumhusu shujaa huyu mpaka siku atakapo pumzishwa kwenye makao yake ya milele, let's celebrate the life and the times of Edward Lowassa.

RIP Shujaa Laigwanani Comred Edward Ngoyai Ole Lowassa,

Umepigana vita vilivyo vitakatifu, Mwendo umeumaliza,
Imani umeilinda.
Bwana alitoa,
Bwana ametwaa,
Jina Lake Lihimidiwe!.

Paskali
Ila kuna jambo huwa linafikirisha sana. Edo alikuwaje mmasai ilihali wazee wake ni Wameru wa kwa Ndosi?

Ila tuachane na haya msomi. Twendelee na tribute.
 
Mkuu mchokonozi, acha uchokonozi wenye maurongo!, mmiliki wa shivacom ni Tanil somaiya na sio RA!. Hata ukisema kweli 99 ukachanganya na uongo mmoja tuu!, huo uongo utafanya hizo kweli zote 99 kuonekana ni uongo mtupu! kwa formular ya samaki mmoja akioza!.

Hii haisaidii kitu!, it is too little, too late!, Lowassa ndio rais wetu, watu wa mamuzi waliishaamua kitambo, hata mseme nini, haitasaidia kitu!, its never gonna change a thing!.

Unakabiliwa na tatizo la wivu wa kike wa umasikini wa kuwa na chuki kwa kila mwenye nacho!,
sisi wengine ni umasikini tumezoea, tena ni masikini jeuri, kama Kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!, hatuna wivu na wenye nacho, ndio maana tumewakaribisha kwetu!, tumeridhika na umasikini wetu ndio maana kila siku tunaendelea kuichagua CCM huku ikituzidishia tuu huu umasikini!, ila tarehe 25 October, tutasema basi!.

Ila na wewe if you can, just get rich or die trying!.
If you can't, I feel sorry for you!, acha wivu!.

Pole!,

Pasco
The best comment brother
The b
 
Back
Top Bottom