Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta

Leta kwanza utajiri wa huyu mtoto wa kiranja mkuu kabla ya fred ndo tutakuelewa kwani baresa lapata wapi utajiri
 
Umaskini huwezi kuondoka kwa kutoa kilicho afadhali kuweka kibovu kiukweli Ccm bado iko imara na si walio leta umaskini ila ni hao watu kama wakina Freddy lowasa

mbona huyo mwingine hujamtaja utakufa na visenti vya kuhongwa sijui utahadithia nini watoto wako kazi ni moja tuu kumtoa mkoloni mweusi ccm mengine kamwadithie bibi yako
 
masikini pasco! baada ya kujificha kwa muda mrefu sasa umeamua kuja front kutetea mkate wako! kila la heri kwenye hili galasa ulilochagua!lets hop no one has an ACE in CCM.., maana kwa mwendo unavyokwenda.., waweza kosa mti wa kuparamia november 2015!

Ushauri wangu kama mwanajamvi.., penda kwa kiasi, shabikia kwa kiasi, sapoti kwa kiasi, hakuna haja ya kujiapiza..,

watu washajiapiza kuliko .mkoloni mweusi...watachagua hata jiwe likisimamishwa. wengine tulishaamua miaka miwili nyuma umechelewa kutushauri
 
Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta

idara ya propaganda masaki imekutuma.
mimi ni miongoni mwa watu wanaoijua vema Hyatt Regence. Mmiliki wa Jengo na mmiliki wa Brand name hakuna mtanzania wala muafrika pale. vingine sina uelewa navyo lakini hapa umedanganya. tafuta gia nyingine. Lowasa Tajiri mwanae kuwa tajiri sishangai. unapiga kelele na vodacom km kweli mzalendo ongelea celtel na ttcl Bhati airtel na TTCL tuone ugoro wa ccm ktk mkataba huu. hadi leo tanzania ya ccm haina telecom company ya kueleweka.
 
mbona huyo mwingine hujamtaja utakufa na visenti vya kuhongwa sijui utahadithia nini watoto wako kazi ni moja tuu kumtoa mkoloni mweusi ccm mengine kamwadithie bibi yako

Hata mantiki ya utetezi wako bado sijauuona shda huwa mnawaziwa na wanao jifanya wanawaza nasi kuwaza ktk vichwa vyenu!
 
aisee kwa kweli ni hatari na ni huruma kwa kweli.kwa vyama vya upinzani wa miaka 23 plus hawna mgombea isipokuwa lowassa??? walikuwa wanafanyia nini ruzuku kwa maaana ya kuandaa vijana machachari kusgombea urais??dahhhh kwa kweli bongo hakuna kitu kinaenda sawa yaani miaka 23 na the best opposition could do is to adopt leftovers from rulling party!!!
 
muulize mzazi wako....familia yenu ina MKOSI.
NENDENI KWA MZEE WA UPWAKO MKAOMBEWE....kwa mzee KATAPILA UMASIKINI SIO ISSUE!.
 
upande mwingine ni Magufuli,,mtoto wake aliumwa akafia muhimbili sio nchi za nje: sina data zake zaidi,,,kama unazo mwaga hapa.

Kikwete ameshamaliza muda wake,,sina time naye tena: najadili wanaotaka kutuongoza

Sasa mtoto kufia Muhimbili ishakuwa sifa? Hee alitakiwa apone akiwa Muhimbili ndio ningeona CCM na Magufuli wako serious. Sasa tunashindwa hata kupambanua kuwa huduma mbovu ndio zilisababisha kifo kisa ushabiki?
CCM iende ikajipange upya tuwape kazi watu wengine nao wafanye tupate kulinganisha mmh 50 years bado tunapambana na kipindupindu na uchafu Dar?
 
Mleta.mada umetumwa hutupati n'gooooo!kila siku mnaibua mapya Tumechooka sisi hapa tupi nyumba kwa nyumba na LUwasaa WETu (in bibi voice)tafuta clip ya bibi kiboko ya ccm
 
Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta

Mbona hauulizi utajiri wa ajabu wa Riz moko?
 
Wewe uliyeweka hii post ni maskini? Je, unaona fahari kuwa maskini?
Anza kuwekeza sasa.
Halafu utajiri au umaskini si kigezo cha mtu kupewa urais. Wewe ni miongoni mwa wale wanaoamini kila alichosema Nyerere tukifuate. Tunatakiwa tutumie akili zetu kutatua changamoto za leo. Acha mawazo ya kimaskini, waza kitajiri kuanzia sasa.
 
Nilidhani unasema ana utajiri wa kuiba ama kupora, kumbe ni mfanyabiashara halali Tanzania na ni mlipakodi mzuri ambae taifa linamtegemea,

Kwakukusahihisha tu nikuwa Shivacom ni ya Tanhil Somaiya,

Usiwe na wivu wa kike fanya kazi halali uyajenge maisha yako kijana,
Kwa akili na utashi huu itachukua karne kuzaliwa mtu wa karba ya Julius K. Nyerere kwenye ukoo huo.
 
Mkuu mchokonozi, acha uchokonozi wenye maurongo!, mmiliki wa shivacom ni Tanil somaiya na sio RA!. Hata ukisema kweli 99 ukachanganya na uongo mmoja tuu!, huo uongo utafanya hizo kweli zote 99 kuonekana ni uongo mtupu! kwa formular ya samaki mmoja akioza!.

Hii haisaidii kitu!, it is too little, too late!, Lowassa ndio rais wetu, watu wa mamuzi waliishaamua kitambo, hata mseme nini, haitasaidia kitu!, its never gonna change a thing!.

Unakabili
wa na tatizo la wivu wa kike wa umasikini wa kuwa na chuki kwa kila mwenye nacho!, sisi wengine ni umasikini tumezoea, tena ni masikini jeuri, kama Kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!, hatuna wivu na wenye nacho, ndio maana tumewakaribisha kwetu!, tumeridhika na umasikini wetu ndio maana kila siku tunaendelea kuichagua CCM huku ikituzidishia tuu huu umasikini!, ila tarehe 25 October, tutasema basi!.

Ila
na wewe if you can, just get rich or die trying!.
If you can't, I feel
sorry for you!, acha
wivu!.

Pole!,

Pasco

like25,010,2015/= safi sana maskini jeuri
 
Back
Top Bottom