Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Freddy & Ridhwn=lowasa & kikwete= hawafai .....MAGUFULI anafaa kwa maan kwamba tunaongelea anaye enda kutuongoza wakati huu

Kama Magufuli anafaa lakini mwenyekiti wa chama chake hafai (kutokana na maoni yako) unategemea ataongoza vipi??!!
 
Alipokuwa Sisiem huo utajiri hamkuuona, kahamia ukawa ndio mnajua anautajiri wa ajabu. Mtasoma namba mwaka huu.

Acheni ukoraaa🚶🏻
 
wanajamvi,

mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni rostam azizi.

Kampuni ya pili ni integrated property limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko mbuzi mawe serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa fred anamiliki shares 30% pale hyatt hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? I don't know)

swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba uk, sweden na malta

ata za riz tutazioji...hakuna jiwe litaloachwa bila kuinuliwa
 
upande mwingine ni Magufuli,,mtoto wake aliumwa akafia muhimbili sio nchi za nje: sina data zake zaidi,,,kama unazo mwaga hapa.

Kikwete ameshamaliza muda wake,,sina time naye tena: najadili wanaotaka kutuongoza

Siyo kutuongoza ...ni kutupiga tena!
 
Mkuu nimevutiwa sana na uchunguzi wako inaonesha hawa jamaa ni wafanyabiashara wazuri sana nadhani tuna cha kujifunza hapa ili nasi tufanikiwe tufanye kazi kwa bidii tuaje majungu na umbea kama wako kisha tusonge mbele .
 
Ubataka. Utawaliwe na masikini tena wakunyonyeeeeeeeeeee mpaka ubaki mifupa weka lowassa akuna nkaa
 
nimejaribu kupitia coments mbalimbali humu ndani, watu kama Yeriko Nyerere kibaraka anayetumiwa kama mpira wa kiume ningeshangaa sana kama asingekuja kumtetea LOWASSA aliyekuwa anamtusi, kumtukana na kumkashifu, kutokana na njaa zake naskia kapewa milion tano tu ndizo zinazomsumbua na kupoteza utu wake, pia wapo wengi wasiojitambua waliokuja kumtetea fred sijashangazwa kabisa kutokana na urefu wa akili zao kuwa na kimo kama cha ZAKAYO wa kwenye Bible, ila nimeshitushwa sana na mtu ninayemuamini sana kwa maana mwenye AKILI TIMAMU, MCHAMBUZI MZURI, PIA NAMUONA NI GENTLEMAN mh Pasco kumtetea lowassa lakini kubwa zaidi eti nawe Pasco unaamini lowassa atakuwa RAIS wa nchi hii kweli? hata kama unatetea ugali wako kwa maana una maslahi nae, jifiche kidogo, kiukweli nimesikitika sana, NAENDELEA KUTAFAKARI KAMA NIENDELEE KUKUACHA KTK POSITION NILIYOKUWEKA au la. nitarudi tena akijibu, ngoja niende tu bar nikapige supu nanze na castle lager mapemaaa
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta

Huyu mtoto ni baraaa mwaka 2009 aliingiza CASH kwenya bank moja huko london kwenye matawi yake 12 pound laki moja sawa na milioni 330 za kitanzania kwa siku moja. siku nyingine nyingine akaingiza pound laki 199 sawa na milioni 650 za kitanzania. dogo yuko vizuri.
 
Jamani kiukweli mimi nilianza kulima mwaka jana, na kiukweli KILIMO KINALIPAAAAAAAAA.....! sasa naanza kuogopa maana tangu nianze kulima viela vya mboga na kubadili nguo hazinipigi chenga na isitoshe vidili viwili vitatu navyo havikosekani mpaka hivi sasa naanza kunyanyua kabanda kangu na viproject viwili vitatu vya kufuga SATO.

Hofu yangu baada ya miak kumi ijayo kwa wigi wa kazi (MADILI) ninayoletewahivi sasa nashindwa kuyateeleza kutokana na ukosefu wa hela katika kucheza hizo dili sasa niiaza kuvuna msimu huu na kuanza kuvuna sao zangu zile ntawez piga ili za kati a kuwa MTAMU zaidi ya mcharo sasa ka menndo huu anaofanyiwa kin Freddy imintaeza kuuepuka kweli?

Mana ninapangoa kugombania uku wa kata awamu ijayo.
Punguzeni wivu wa kilofa wakuu pieni kazi puguzeni majungu.
 
Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta

hebu kwanza kabla ya ukonozi wa vitu vya wenzako utueleze wewe kilichokutoa alphatel ni nini? au ulikuwa kwenye ile deal ya kupiga mil 70 pale mlangoni mkipeleka benki? halafu hii yako imekaa kimbeambea unasema wakuelekeze wanapataje hela halafu unaanza na kuanika vitu vyake, kama ulikuwa pale so una number yake alikuwa bosi wako mpigie umuulize tuondolee umbea na wivu sio maana hapa
 
Unataka kuniambia Fred lowassa ni tajiri kuliko Rizwan? Acha matani bana!!!
 
kwasababu mtoto wa Lowassa bado ipo, ingekuwa ya mtoto wa Kikwete ingesha futwa
 
Siku zote watu wenye vimawazo vya kimaskini wanakuwaga na vimaneni visivyo isha.
 
Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta
hizi tabia za kufuatilia mambo ya watu ni wivu wa kike. kama unaushahidi kwamba ni mafisadi peleka polisi
 
Back
Top Bottom