Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

masikini pasco! baada ya kujificha kwa muda mrefu sasa umeamua kuja front kutetea mkate wako! kila la heri kwenye hili galasa ulilochagua!lets hop no one has an ACE in CCM.., maana kwa mwendo unavyokwenda.., waweza kosa mti wa kuparamia november 2015!

Ushauri wangu kama mwanajamvi.., penda kwa kiasi, shabikia kwa kiasi, sapoti kwa kiasi, hakuna haja ya kujiapiza..,

Punguza wivu wa kike na U Semi-god
 
Thanks, bora tumejua mapema , maana tungeanza zani utajiri wakujipatia baada ya kupata madaraka.
 
Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta

inaumiza sana ukisoma hii kitu....vipi na mmiliki wa Lake oil, AfriOil, Primefuel, Dalbit, IPTL-PAP, Hotel ya ghorofa nane pale msamvu, Tanzania womens Bank.....?? chimbua ulete taarifa
 
Hata mnye kinyesi cha rangi ya Kijani Mwaka huu haitasaidia... Hatutawaonea Huruma ... CCM lazima waondolewe .... Tuambie wamiliki wa ESCROW ni akina nani? Tembo 77,000 hadi 13, 000 ... Kinana anasemaje?
 
upande mwingine ni Magufuli,,mtoto wake aliumwa akafia muhimbili sio nchi za nje: sina data zake zaidi,,,kama unazo mwaga hapa.

Kikwete ameshamaliza muda wake,,sina time naye tena: najadili wanaotaka kutuongoza
Makufuli ana small house kila kona,usikute hata alikuwa hajui kama kuna mwanae kalazwa Muhimbili.Hivi mkewe wa ndoa kaanza kuonekana kwenye kampeni za mmewe?
 
upande mwingine ni Magufuli,,mtoto wake aliumwa akafia muhimbili sio nchi za nje: sina data zake zaidi,,,kama unazo mwaga hapa.

Kikwete ameshamaliza muda wake,,sina time naye tena: najadili wanaotaka kutuongoza

Tena bora unyamaze maana hako katoto kalikuwa kanasoma na shule moja na mdogo wa mke wangu ila cntaelezea zaid
 
Ukiachana na viongozi walioikomboa afrika au nchi zao, viongozi wengine wote waliofuatia baada ya waasisi itikadi zao za kwanza zilikuwa ni kusaka bingo na kujilimbikizia mali. Hivyo, hakuna kiongozi ambaye familia yake Sio tajiri wa kupindukia.
 
masikini pasco! baada ya kujificha kwa muda mrefu sasa umeamua kuja front kutetea mkate wako! kila la heri kwenye hili galasa ulilochagua!lets hop no one has an ACE in CCM.., maana kwa mwendo unavyokwenda.., waweza kosa mti wa kuparamia november 2015!

Ushauri wangu kama mwanajamvi.., penda kwa kiasi, shabikia kwa kiasi, sapoti kwa kiasi, hakuna haja ya kujiapiza..,

Ni vizuri tuwape madaraka kwa kuwa walishapata kuliko kuingiza ikulu mtu ambaye hata kigoda hana kwa kwa sababu mpaka aibe na kutosha tutakuwa tumekwisha!
 
mkonozi familia hiyo imepata utajiri kwa kuwa wabunifu, wachapakazi na wanaojituma kama walivyopata akina mohamed dewji, omar bakhresa, regina reginald mengi abeid amani abeid karume, simon robert kisena na khadija simba. utajiri wake fred hauna uhusiano na baba yake na ndio maana hujamtaja edward. na hilo halitusababishi tuache kumpa kura lowassa. tutampa kura lowassa na akiingia ikulu tutamwomba atuweke wazi kama ana hisa au ushiriki wa namna yoyote kwenye mashamba na makampuni ya fred. lakini vilevile tutahoji utajiri wa ghafla wa ridhiwani na miraji pamoja na umiliki wao wa makampuni kadhaa ndani na nje ya nchi, vilevile tutahoji utajiri wa watoto wa ali hassan mwinyi na wa mkapa vilevile. hii ndio demokrasia tunayoitaka ambayo tutaiweka oktoba 25 kupitia sanduku la kura.
Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta
 
Utajiri wake mwenyewe sisi hautuhusu ila sisi nchi kwanza......CCM out
 
Kiongozi mbona huuliza Mengi, bakheresa, anthony dialo nk wamepata wapi pesa??
Acha wivu wa maendeleo wewe fanya kazi kwa bidii utafanikiwa.
Pumbavuuu
 
Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta

Utajiri wa Lowassa. Na bado anataka kwenda Ikulu akaibe vizuri. CHAGUA MAGUFULI, #HapaKaziTu
 
Itisha mdahalo wa fred na riz tujue mbichi na mbivu

Na utajiri wa Maguguli, Ridhiwani Kikwete etc....in short who cares
 
Cc SIO NDUGU YETU KAMUULIZE TENA KWA KUA UNAPAJUA ANAPOKAA , IDADI YA FAMILIA YAKE NYUMBA ZAKE ULAYA BASI NENDA NA TAKUKURU WATAKUSAIDIA BWANA
USISAHAU KUTUPA MREJESHO
 
wanajamvi,

mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni rostam azizi.

Kampuni ya pili ni integrated property limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko mbuzi mawe serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa fred anamiliki shares 30% pale hyatt hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? I don't know)

swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba uk, sweden na malta

haya mambo ya kawaida.... Ni wakati wa watanzania kukubali kuwa hatuwezi kuwa sawa....tuwe wakweli kama wewe ungepata fursa kama ya fred lowasa usingefanya biashara..... Hakuna kosa mtu kuwa tajiri au kutumia fursa iliyopo mbele yake... Kwani yupo peke yake...nini tofauti kati yake na watoto wa watawala wengine......
 
Dar live, pwani haulier, lake oil na anayezuia reli zisijengwe au kukarabatiwa ni nani? Nani anaencourange road transport badala railway transport ninani. Ninani anaweka kodi katika mafuta ya taa ambayo ni tegemeo la walalahoi wa vijiji ambako umeme waliahidiwa wa rea ni ndot ya alinancha? Je ni freddy lowassa au rz1. Aliyeokolewa na baba yake kwa ndge usikukwa usiku ksbb ya madawa ya kulevya kiasi cha cha baba yake kuingia mikataba 17 na mchina bila kinyongo ni freddy lowassa? Tujuzwe haya yote badala ya kuambiwa nyumba london
 
Back
Top Bottom