Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta

kwa hiyo!!?
 
sijakataa,,atufundishe na sisi kupiga mavitu basi,,mbona wanapiga wenyewe tu,,tupige wote

utasubiri sana. na subiri watanzania tujikaange wenyewe kwa kumuweka huyo jamaa magogoni. tutaisoma namba
 
So you like poverty in tour life????

hatokaa atokee mtu anayechukia umaskini maishani mwake. hayupo

tatizo hapa ni kuwa huyu ni wa familia ya mtu anayewania kwenda ikulu. sasa kama ni hivyo inabidi tujue amepataje huo utajiri mkubwa hivyo. kama ametumia njia mbaya , za ovyo, za kiufisadi au kiwizi basi hawafai kwenda ikulu
 
kama walikuwa wanaiba wakiwa hawana madaraka makubwa kihivyo katika nchi je watafanya nini wakiwa ikulu?

naamini haitakuwa kuiba tena bali itakuwa kusomba
 
Ni kweli utajiri wake ni wake yeye na hatuna sababu nao tu nacho taka ni kuitoa ccm madarakani hakika hii ndio imeleta umasikini
 
Ni kweli utajiri wake ni wake yeye na hatuna sababu nao tu nacho taka ni kuitoa ccm madarakani hakika hii ndio imeleta umasikini

ccm kama ccm haijaleta umaskini. ila baadhi ya viongozi wa ccm kama mzee wa huyu jamaa ndio walioleta umaskini
 
Hata mlete majungu ya utajiri wa sijui mtoto wa nani.
Hatutaki rais masikini tunamtaka huyo huyo sisi
Viva Lowassa
 
Dar live, pwani haulier, lake oil na anayezuia reli zisijengwe au kukarabatiwa ni nani? Nani anaencourange road transport badala railway transport ninani. Ninani anaweka kodi katika mafuta ya taa ambayo ni tegemeo la walalahoi wa vijiji ambako umeme waliahidiwa wa rea ni ndot ya alinancha? Je ni freddy lowassa au rz1. Aliyeokolewa na baba yake kwa ndge usikukwa usiku ksbb ya madawa ya kulevya kiasi cha cha baba yake kuingia mikataba 17 na mchina bila kinyongo ni freddy lowassa? Tujuzwe haya yote badala ya kuambiwa nyumba london

wote wawili hawafai

na hata kikwete angekuwa anagombea urais tungesema hafai

na ndio maana pia tunasema tumpe d magufuli kura zetu za NDIYO
 
Wewe ni mnafiki Mbona humuzungumzii Lidhiwan Kikwete mwenye kumiliki kila kitu hapa Tanzania.
Acha maneno ya kinafiki sisi kwa Lowasa tu.
Hata Twiga waliosafiri hausemi kabisa.

freddy na ridhiwn wote hawafai
lowasa na kikwete wote hawafai

ila dr magufuli ndio anafaa. tumpe kura zote dr magufuli
 
Wewe ukitaka ushujaa jadili kitu kwa manufaa ya nchi ya Tanzania na sio kumkabili mtu wa afya ya familia yake.ukijadili pesa yake wewe huipati tafuta yako maana muda unao wa kutosha sio kupiga kelele.tumia na wewe muda wa gossip kutafuta fedha utaachwa
 
Hivi hii nayo ni mada? Mtoto wa tajiri unataka awe masikini! Lowassa ni tajiri wa muda mrefu mno rejea 1995 walimletea figisufigisu kisa mali zake lakin hakuna aliyetoa ushahidi wa uharamu wa mali hiyo. Ok tuanze kudiscuss matajiri wote bongo kuanzia wa kwanza mpaka wa mwisho ujinga mkuu.

tuna discuss wale wanaotaka kutuongoza tu kwa muda huu
 
Hao ni mafisadi na tunazungumzia utajili usio kuwa na jicho wapi ulianzia
 
we mwenyewe umetoa vyanzo ambavyo ni uwekezaji baada ya kupata fursa. je wewe umenyimwa kununua hisa au unakunywa castle tu na kumlalamikia mungu wako. Issue kama hawalipi kodi waulize TRA kama wanalipa kaa kimya. Pia tofautisha alphatel na fredy ama lowasa hizo ni entity tofauti kabisa kampuni na business persons.
 
Umaskini huwezi kuondoka kwa kutoa kilicho afadhali kuweka kibovu kiukweli Ccm bado iko imara na si walio leta umaskini ila ni hao watu kama wakina Freddy lowasa
 
Sawa tumesikia........kuna la zaidi.........?.......vipi kuhusu upande mwingine.........?......

anamiliki nyumba ya urithi aliyoachiwa na bibi yake mzaa mama pale migomigo na Toyota corolla.
 
freddy na ridhiwn wote hawafai
lowasa na kikwete wote hawafai

ila dr magufuli ndio anafaa. tumpe kura zote dr magufuli

Freddy & Ridhwn=lowasa & kikwete= hawafai .....MAGUFULI anafaa kwa maan kwamba tunaongelea anaye enda kutuongoza wakati huu
 
Haya kojoa ukalale upitie na kafungu ulio ahidiwa mtoto wa mama

Back
Top Bottom