Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 897
Oloronyo
Binafsi ninamfahamu Franco - naweza kusema kwamba ni rafiki yangu - muda mrefu sana. Niliporejea nyumbani mwaka 1992 baada ya kuishi ulaya muda mrefu, yeye, pamoja na rafiki yetu mwingine, Nicas, ndio waliokuwa wenyeji wangu, nisimsahau Baraka. Walinionesha njia. Pita hapa, usipite pale. Ongea na huyu, usiongee na yule.
Nilisikitika kwa yote yaliyomkuta, kwani hujui lini yatakukuta, hujui maisha yatakubadilikia kwa namna gani. Hata kama alikuwa "mlevi mbwa", huwezi kujua ni nini haswa kilitokea mpaka akawa hali hile. Nina HAKIKA hakupenda hali ile, lakini wewe hujawahi kupata MSONGO wa MAWAZO (mental depression). Utaiona dunia chungu, utatamani ardhi ipasuke dunia ikumeze! Utakimbilia kwenye pombe na anasa, lakini hazitakusaidia.
Usitumie "kuharibikiwa" kwa binadam mwenzako kama njia ya kujisafisha mwenyewe. Binafsi mimi nakuona kwamba una tatizo la "inferiority complex". Watu wenye hali hiyo hawajioni kama "wametimia" mpaka wapate nafasi ya kumbeza mtu mwingine. JIAMINI kaka, kwamba wewe ni wewe, na downfall ya mtu mwingine isiwe chanzo cha wewe KUONEKANA kwamba nawe umo. JIAMINI kwa jinsi ulivyo, nasi tutakuona kwamba UMO. Lakini ukitumia UWANDA HUU MPANA kumchafua ndugu yetu Franco Mtui, tutakupondaponda kwa mawe, viboko, matofali, ufe kama kibaka anayekamatwa kule Sokoni Kariakoo, akijaribu kumpora mama mhangaikaji vijisenti vyake.
Unadiriki kusema kwamba Franco alijiona yeye yuko juu? Unamfahamu kweli ama unaropoka tu?
Ficha upumbavu wako, onesha hekima zako! - Invisible
Usitukane wakunga, na uzazi ungalipo.
./Mwana wa Haki
Pole sana ndugu yangu Franco (aka Pinocchio!). Mola atakuafu mapema!
ni mmoja wa wanafamilia wa mzee mtui, baba alikuwa mtumishi wa umma akiishi o'bay. Vijana watatu hawa franco ndiye mkubwa akifuatiwa na deo na mdogo wa alikuwa dj maarufu fresh xe. I'm not sure na mdogo wao mwingine tena.
Siku zile enzi za o'bay primary kila mmoja wao alikuwa na kipaji chake. Franco alikuwa sharp, deo cool na fresh xe music. Enzi hizo walikuwa na connection za mamtoni hivyo kigongo chochote kikishuka ulaya within no time
kina mtui wanakidaka. You can imagine enzi hizo, hakuna tv wala mtandao
baada ya kumaliza sec, wote walifanikiwa kimaisha kila mmoja kwa upande wake.
Umaarufu wa vijana hawa ni watu wa watu.
Tunawaombea kwa mungu, uponyaji wa haraka, watanzania wote watatu, mpiganaji athumani hamisi, mzee wetu timothy apiyo na franco mtui ambao wote wamelazwa hospitali hiyo nchini afrika kusini.
Mod, rekebisha headline amepooza ila sio mwili mzima!.
Majina kuwa alphabetical ina uhusiano gani na hali iliyopo?
Mke wake played a big part? I thought ndiye wa kwanza hasa kubeba hilo jukumu, nani mwingine ulitarajia aplei hiyo role?
...franco is a nice guy, always smiles. Very likeable guy. Mzee mtui aliwapa majina watoto wake alphabetically.
Mke wake played a big part ya franco kuwa south africa anatibiwa, alipelekwa nairobi kwanza.
Get well soon brother, our prayers are with you
Shisha...kwanza imewekwa wazi na wengi humu kuwa hayuko tena na mkewe, sasa labda kwako sio muhimu kujua kuwa mkewe bado kwenye matatizo alikuwa nae.
Hio ya majina ni kuonyesha kuwa ninayemuongela ninamjua vizuri. Watu wengi humu wametoa mifano kwa kuonyesha kwa namna gani wanamfahamu Franco na familia yake
duh! mashikaji zako walikuwa akina NIcas? Duh! haya bwana
baraka unayemzingumzia ni yupi BIG RON au PISHI?
Ni mmoja wa wanafamilia wa Mzee Mtui, Baba alikuwa mtumishi wa umma akiishi O'Bay. Vijana watatu hawa Franco ndiye mkubwa akifuatiwa na Deo na mdogo wa alikuwa DJ Maarufu Fresh XE. I'm not sure na mdogo wao mwingine tena.
Siku zile enzi za O'Bay Primary kila mmoja wao alikuwa na kipaji chake. Franco alikuwa sharp, Deo cool na Fresh XE music. Enzi hizo walikuwa na connection za mamtoni hivyo kigongo chochote kikishuka ulaya within no time
Kina Mtui wanakidaka. You can imagine enzi hizo, hakuna TV wala mtandao
Baada ya kumaliza sec, wote walifanikiwa kimaisha kila mmoja kwa upande wake.
Umaarufu wa vijana hawa ni watu wa watu.
Tunawaombea kwa Mungu, uponyaji wa haraka, Watanzania wote watatu, Mpiganaji Athumani Hamisi, Mzee wetu Timothy Apiyo na Franco Mtui ambao wote wamelazwa hospitali hiyo nchini Afrika Kusini.
Mod, rekebisha headline amepooza ila sio mwili mzima!.
Oooh kumbe ni watoto wa Ostabei...ndio maana nimeambulia kapa...hivi huko Ostabei bado kuna oneka mali kwa standards za kibongo? Mimi nakuona kuchafukuchafu na kukuukuu...nyumba zimejengwa karne ya 19..aaaagh
......halafu, jamaa mliosoma SRSS (kizazi cha Breakdance!) wengi wenu mnafahamiana bana, mmetokea kwenye 'anga' hizo hizo za Bunge na Forodhani Primary, O'Bay primary, Upanga Primary, Zanaki, Muhimbili Primary nk etc... 😀
Wengi tuliosoma SRSS tumetokea Olympio bana....na bunge kwa mbali
na on saturday of course never MISS events kama FOOD EVENING
watoto wa kishua wakiongea wana misamiati yao fulani fulani halafu unajua kwenye mazungumzo yao lazima watakuwa wanatupa jina la kigogo fulani left and right kama vile Grald..haitoshi lazima watasema oahh unamzungumzia GERALD MKASOYA au kama vipi akitajwa FRANK basi lazima MTUI ifuate au kama akitajwa KHADIJA basi either watakwambia ahhh unamzungumzia KHADIJA KIGODA au MWANAMBOKA? au pascal..oh pascal MAYALA
they also have another thing in common, almost wote wamesomea NORTH DAR au maeneo ya Kinondoni...secondary au Primary wachache wamesoma pale Bunge lakini wengi wamesoma O'bay
Socializing..well generation tunaizungumzia ni ya waliokwenda 7th floor ijumaa jioni huku mchana walikuwa wanapattikana Don Bosco wanacheza basket, na on saturday of course never MISS events kama FOOD EVENING na DATES zao zilikuwa ni SHALIMAR, magazines zao kama RIGHT ON na WORD UP walikuwa wananunua kwa KHERY pale salamander na sasa hivi wengi wamerudi toka huko walikopelekwa kusoma na wanafanya kazi laini laini kama vile PR officers wa mashirika mbali mbali hapa mjini
OMG!,Nimesoma hii kit yako aisee umenikumbusha mbali sana especially Kheri wa salamander na magazeti yake hivi bado yupo?
Na pia 7th floor enzi hizo akina mwesiga Lukaza walikuwa wanachafua sana alafu umesahau Twiga na DI (Dar international)ilikuwa pale karibu na Embassy hotel. stk tsk tsk tsk Shalimar,mambo ya food evening duh GT ww ni kiboko una kumbukumbu kinomaa bado umeshau beach parties za Mawingu.
Food evening gani na lini ilifanyika saturday?
watoto wa kishua watakuja kujibu hilo wenyewe wanajuana wanafunzi wa FORODHANI
Hakuna food evening iliyofanyika jumamosi bana....labda in the 00s
YAP KHERY yupo lakini sasa hivi yupo opposite na website yake ni hii hivyo kama unaweza mpige pini mnyamwezi alikuwa ananiuzia SOURCE kwa bei ya chee..tangu akina FILEMONI CHACHA na DEO wa ALLIANCE AIR wastop imekuwa ngumu kupata magazine mnyamwezi wetu lakini bado tunampa support pale tunapoweza
Beach parties ndio usiniambie unajua kulikuwa na jamaa wanatoka USWAZI walikuwa wanaingiza timu na COASTER zinazopiga nyimbo za BOBA MARLEY ...mziki mzitooo hebu niambie uko bichi halafu inaingia coaster inapiga mziki kuliko wa DJ KALI KALI unashangaa hili ngoma la NATURAL MYSTIC...ahh we acha tuu