zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,220
- Thread starter
- #41
Mkuu vp cheka anaenda vzr
bado bado mkuu now ndio wanazipiga
hakuna mkuu siunajua tena utam ukizidi sananaona mkuu lege kapotea ghafla! Hao wale "wahuni" tunaoambiwa wapo kwenye ngumi wamemlza mawasiliano yake'
dah, cheka ni mbabe kweli!! mungu ibariki tanzaniaCheka bingwa kwa point
Kabebwa!Cheka bingwa kwa point
Cheka bingwa kwa point
kijana huwa akijifungia moro anafanya kweli anapiga zoezi kama mnyama huyu jamaa mm namkubali sanadah, cheka ni mbabe kweli!! mungu ibariki tanzania
Kabebwa!