Francis Cheka (TZ) vs Phil Williams (US)

Francis Cheka (TZ) vs Phil Williams (US)

Cheka vp ameshinda au

...kashinda kwa point!
Lakini waMAREKANI wanalalamika kuwa wametapeliwa;
- Boxer wao hajalipwa fedha walizokubaliana $8000 USD, pia walidanganya sehemu ya kuchezea, tofauti na picha walizotumia...
- mpaka sasa promoter wa kibongo kabebwa na polisi baada ya kushinda kulipa fedha walizokubaliana...
"aibu kwa TZ"
 
Hahahhah chezea wabongo, wamarekani imekula kwao, usd 8000 zitoke wapi wakati mmeshindwa, waende ubalozini watapewa.
 
...kashinda kwa point!
Lakini waMAREKANI wanalalamika kuwa wametapeliwa;
- Boxer wao hajalipwa fedha walizokubaliana $8000 USD, pia walidanganya sehemu ya kuchezea, tofauti na picha walizotumia...
- mpaka sasa promoter wa kibongo kabebwa na polisi baada ya kushinda kulipa fedha walizokubaliana...
"aibu kwa TZ"

Kwani malipo yanafanyika ndani ya uwanja mara tu baada ya mpambano? Kuhusu uwanja kuwa tofauti na picha walizoonyeshwa kwanini sasa walikubali kumuingiza mchezaji wao ulingoni wakati wanaona masharti yamekiukwa, je angeshinda huyo mwenzao bado wangeleta hayo malalamiko?

CHEKA hUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!
 
bondia francis cheka amefanikiwa kumvua ubingwa wa dunia bondia kutoka marekani kwa point katika raundi 12 nafikiri ni jambo la kujivunia tukiwa kama taifa
 
Huu, ulikua wizi mtupu eti Mmarekani Kocha wake Mtanzania dah!
 
Hapa mi hua sielewagi.
Mfano Floyd Myweather anapigania uzito gani?
Au Manny Paquiao anapigania uzito gani?

Maana kila siku huyu Cheka anawadunda mabondia wa mitaani tu, why not wale maarufu.

Iko hivi, mnaweza mkaletewa mhuni tu wa mitaani huko Marekani mkaambiwa ni bondia mkalipia kiingilio.

We ushaona wapi eti Cheka anapigana na Francis Miyeyusho kugombea ubingwa wa Dunia? Kuna mikanda mingapi ya Huo uzito kwenye la kila chama ?
 
Na wachezaji wa mpira wangekuwa kama Cheka nchi hii ingekuwa mbali sana kisoka!Tatizo lao badala ya kuconcetrate kwenye mpira wanaenda kushiriki video za ngono kama ile ya Mrisho Ngasa tuliyoina humu JF last week!Hongera sana Cheka,hongera sana Watanzania!
 
mjinga anaongea sana na akipigwa anadai uchawi, nakumbuka kuna game moja alicheza na Cheka akapewa nako za ukweli hadi akawa anaona giza pambano likaisha kwa KO, alipohojiwa akadai Cheka kamloga akawa haoni uwanjani!

Huyo Mkulya inabidi apimwe akiri maana alisema anataka kumuua Mashali tena akadai ana hela nyingi kama akipigwa atamuongeza Mashali m1.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom