Francis Cheka (TZ) vs Phil Williams (US)

Francis Cheka (TZ) vs Phil Williams (US)

Hapa mi hua sielewagi.
Mfano Floyd Myweather anapigania uzito gani?
Au Manny Paquiao anapigania uzito gani?

Maana kila siku huyu Cheka anawadunda mabondia wa mitaani tu, why not wale maarufu.

Iko hivi, mnaweza mkaletewa mhuni tu wa mitaani huko Marekani mkaambiwa ni bondia mkalipia kiingilio.

We ushaona wapi eti Cheka anapigana na Francis Miyeyusho kugombea ubingwa wa Dunia? Kuna mikanda mingapi ya Huo uzito kwenye la kila chama ?

Super middle weight
 
Hapa mi hua sielewagi.
Mfano Floyd Myweather anapigania uzito gani?
Au Manny Paquiao anapigania uzito gani?

Maana kila siku huyu Cheka anawadunda mabondia wa mitaani tu, why not wale maarufu.

Iko hivi, mnaweza mkaletewa mhuni tu wa mitaani huko Marekani mkaambiwa ni bondia mkalipia kiingilio.

We ushaona wapi eti Cheka anapigana na Francis Miyeyusho kugombea ubingwa wa Dunia? Kuna mikanda mingapi ya Huo uzito kwenye la kila chama ?

kwenye ndondi kuna madaraja ya uzito ambayo ili upigane na mwenzio lazima muwe daraja moja la uzito,,,
 
Kwa hiyo mwanamke hawezi kuwa mkuu?
Kaka unaniudhi! Leo siji kula vitumbua!

Kwani wewe huwa unakula VITUMBUA au unaliwa kitumbua chako!?, afu mwambie Pou nina salam zake toka chit chat..
 
Kwani malipo yanafanyika ndani ya uwanja mara tu baada ya mpambano? Kuhusu uwanja kuwa tofauti na picha walizoonyeshwa kwanini sasa walikubali kumuingiza mchezaji wao ulingoni wakati wanaona masharti yamekiukwa, je angeshinda huyo mwenzao bado wangeleta hayo malalamiko?


CHEKA hUREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!

Mkuu hawa mashabiki wa Matumla utawaweza? Hawaishiwi maneno hawa, mara oooh Cheka anapigana na waswahili tu, mara ooh Cheka hagombei mikanda mikubwa, mara hiki mara kile wakishirikiana na Madam Maugo camp. Na hii yote ni sababu this Cheka thing is not good for them.

Huyo mtunisha misuli hakuelezwa vizuri kwamba mtu anayekuja kupigwa naye ni ni tough in spirit. Yeye kaja na mituno ya misuli akakutana na 'mweda' za uso.

Cheka hoyeeeeeeeeee!!!!!!

Kama wanaamua kumuita sio Mmarekani sababu kishabondwa, potelea mbali, ni wale wale Wanyamwezi kina Matumla, tofauti huyu alichukuliwa utumwani. Chezea Cheka weee! Huyu mtu alipaswa kuzaliwa kule kwetu Kisaka.
 
Huyo Mnyamwezi angeelezwa historia ya Cheka ya kuwagonga 'nakoz' Wanyamwezi wenzake waliosalia hapa asingekuja na mwili wake huo kama nge. Cheka anawagonga Wanyamwezi wote tu, uwe ulisalia hapa au ulienda Marekani kupitia Zanzibar yeye hajali hilo.

Na mtagongwa mpaka mshike adabu.
 
Na wachezaji wa mpira wangekuwa kama Cheka nchi hii ingekuwa mbali sana kisoka!Tatizo lao badala ya kuconcetrate kwenye mpira wanaenda kushiriki video za ngono kama ile ya Mrisho Ngasa tuliyoina humu JF last week!Hongera sana Cheka,hongera sana Watanzania!

Ngasa 'mzee wa kifo cha mende'
 

Mkuu, natambua Cheka ni Simba na wewe ni Yanga mwenzangu, huenda hii inakusababishia chuki kwa Cheka. Tukiweka kando Matumlaism, Maugoism, Simbaism na Yangaism: Cheka kafanya kazi nzuri inayostahili pongezi na heshima kubwa.
 
Michezo mingine bhana!! yani muna pigana bila ugonvi wowote.
 
wakuu huyu jamaa ahata cheka akienda kwao atampiga tu,jamaa sio mzuri sana kiasi kwamba angekuwa tishio kwa cheka.Nasema wakirudia atapigwa kwa KO...
 
Matokeo yalikuaje wandugu??Mpaka sasa sijui matokeo ya f cheka
 
Duu hongera cheka yan mijitu mingine bwana hata uzalendo haina sasa mungepanda ulingoni lumsaidia huyo william
 
dah.huwa namkubali sana cheka.hongera zake kwa kututoa kimasomaso watz!bado kagame sasa!
 
Sio aibu kwa tz hata nchi za ulaya na nyengine ma promoter wengi matapeli tu
 
Kama kawa dawa pamoja san
a nafanya mpango wa kujaribu kuwadondoshea mapicha ya jana na kama nitaweza nitawadondoshea na video kabisa .hapa now nipo mwenge kwenye bonanza ya kunyayua vitu vitito pamoja michezo


mingine cheka naye tunae hapa sema kadata sana akili yake haija kaa sawa yeye mwenyewe anakili kwa kinywa chake kuwa jamaa anapiga ngumi sio mchezo maana usoni kavimba vimba sana.kuna picha kibao tuu nafanya mpango wa kuwadondoshea wakuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom