Francis Cheka (TZ) vs Phil Williams (US)

Francis Cheka (TZ) vs Phil Williams (US)

Matokeo yalikuaje wandugu??Mpaka sasa sijui matokeo ya f cheka

...Francis "SMG" Cheka kashinda kwa point!
...inaoneka kuna mipango nyuma ya pazia "baada ya Promoter J&Keth kuzidiana kete kwenye tiketi zilizouzwa.
...inaonekana promoter J alimzunguka mwenzake Keth.! J akafyatua tiketi feki na kuzisambaza kinyemele, bila mwenzake Keth kujua kuwa kuna tiketi feki.
Inasemekana huu mkasa wa tiketi feki ulisababisha shindo kuchelewe, baada ya Keth kugundua kuwa katapeliwa na mwenzake J.
Pia imejulikana kuwa taarifa zakuwepo tiketi feki zilimfikia promoter wa Mmarekani Phil "The Drill" kabla ya pambano, kwani Phil atakiwa kupewa $8000 kabla ya pambano. Lakini Cheka inasemekana alidakishwa chake mapema.
...kwa sasa sekaseka linaendelea kituo cha polisi, baada ya promoter Keth kuomba msaada wa Polisi.
"kuna taarifa zaidi (kapuni) "inasemekana Cheka na Phil walitete kabla ya pambano"

...Bongoland kwa Mchonga!
 
kwenye ndondi kuna madaraja ya uzito ambayo ili upigane na mwenzio lazima muwe daraja moja la uzito,,,

sure mwanangu,hawa mabondia toka marekani ni uzushi mtupu,kwanza hawafahamiki, then tunaambiwa bingwa wa dunia.
wizi mtupu
 
sure mwanangu,hawa mabondia toka marekani ni uzushi mtupu,kwanza hawafahamiki, then tunaambiwa bingwa wa dunia.
wizi mtupu

mbali ya uwepo wa madaraja mengi katika ngumi, pia kuna vyama vingi vya ngumi. Mfano WBC,WBO, IBF; WBA nk tofauti na soka ambapo tuna chama kimoja tu kinachounganisha soka FIFA.Ili kuwa sahihi, ni lazima useme ni bingwa wa uzito gani na ni wa chama gani! So mara nyingi sisi wadau wa ngumi bingwa wa dunia ni yule mwenye mikanda walau 3 kwenye uzito wake. Hasa WBC,WBA na IBF!!
 
kwa wale ambao hamkushuhudia,TBC wanaonyesha marudio ya mchezo huo hivi sasa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom