Forum maalum kwa wakongwe wa JF

Forum maalum kwa wakongwe wa JF

Database lilicrash ikabidi mabaharia wafanye restore kutoka backup, lakini kuna baadhi ya majina nayatafuta siyaoni nafikiri yalienda na maji.
Kiranga tuanzishe tena ule mjadala wa Mungu yupo ama hayupo😂

Hivi Maji moto na mlango wa uchawi Tanzania kapotelea wapi? Au Mshana Jr. Karithi vibuyu?😂😂😂
 
Kuna watu wakongwe mpaka ID zao zilipotea database lilopocrash wakaanza upya.

Vijana mnajua database lilicrash?
Hakika sasa tumekuwa wakongwe 😀.

Wengine tumeanza JF tukiwa na ma toddlers nyumbani na leo hii ni college graduates and heading straight to grad school.

Damn I’m starting to feel old now 🤣.

IMG_7840.jpeg


IMG_7839.jpeg
 
Hakika sasa tumekuwa wakongwe 😀.

Wengine tumeanza JF tukiwa na ma toddlers nyumbani na leo hii ni college graduates and heading straight to grad school.

Damn I’m starting to feel old now 🤣.

View attachment 3316970

View attachment 3316971
Hivi unaweza bashiri mm ni nani? Jina lako halisi Lina anza na J...Hongera kukuza my dear friend enzi zetu zile sitazisahau...
 
Miaka ya nyuma kuna aunt mmoja humu alikuwa anajiita NIMPENDENANI aisee, alikuwa anaonekana kuwa mwanamke fulani wife material anayeyajua majukumu yake kwa mumewe na familia yake kwa ujumla, mcha Mungu, halafu mwenye maisha fulani ya kishua, full mabusara.

Sijui alichenji id, aliachana na jf au pengine namna gani vipi.

Mate yalikuwa yakinitoka nikimsoma aisee
 
enzi hizo hata mada zake zilikua zimeshiba ukitaka kucomment lazima ujitafakari kwanza,nimefurahi kuwaona baadhi ya wakongwe hapo juu
 
Wana JF na JF moderators forum hii iwe maalum kwa kiwatambua wakongwe wa jf kwa kuwataja Ili kujifunza kutokana na michango Yao kama wananafasi wajitaje humu au watajwe Ili wale watoto wa 2020 walipopata kujua mitandao 2020-2025 wajue na wajifunze

Naombeni msifute uzi huu na ikiwezekana uwe kule juu bolded
Naombeni msifute uzi huu na ikiwezekana uwe kule juu bolded📌🔨
 
Back
Top Bottom