Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 45,343
- 37,132
Gentleman,Wana JF na JF moderators forum hii iwe maalum kwa kiwatambua wakongwe wa jf kwa kuwataja Ili kujifunza kutokana na michango Yao kama wananafasi wajitaje humu au watajwe Ili wale watoto wa 2020 walipopata kujua mitandao 2020-2025 wajue na wajifunze
Naombeni msifute uzi huu na ikiwezekana uwe kule juu bolded
ni muhimu kujiepusha na fikra zozote zenye sura ya kibaguzi na kutafuta u special ambao hauna maana yoyote jukwaani ,
ni muhimu zaidi ukongwe wa mwana JF yeyote uwe katika kuandika na kuibua hoja au agenda za kusisimua na kubadili au kuchochea mabadiko ya kifikra, maoni na mitazamo tofauti ya wa dau dhidi ya mambo mballimbali kijamii, kisiasa na kiuchmi na hatimae kuogeza uelewa na ufahamu wa wadau juu ya mambo hayo na kuwaleta pamoja kifikra kama familia ya waTanzania kwa maslahi mapana ya amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania wote.
ukongwe na majina havina maana yoyote ispokua mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ndio jambo la maana zaidi kuliko kufikiria kujitenga 🐒