samyz
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 589
- 309
Ww unaongelea mtu wa form 4 au form 6 apo ndo ntapata jbu?Habari Mkuu, kumbuka utaratibu ule wa zamani umerudishwa na Waziri mwenye dhamana, kwahiyo ukiauacha mfumo wa GPA, ni kwamba ufaulu wa D 5, yaani 3 za principal na 2 za kawaida basi unakuwa umequalify kuanza Diploma. MARA NYINGI, certificate inaclear ile failure ya form 4, kupata D sio failure....labda kama values zimebadilishwa.