We unataka kua wani?
Mi sikushauri kbs, soma tu HGK au HKL achana na sayansi enzi zetu tulidanganywa sana na hizo maneno. Ukitaka kua mtawala jiachie kwenye ngwini ukitaka kutumwa tumwa nenda kwenye masomo magumu ya sayansi
Dgo acha mbwembwe kaxome PCB …sis 2loweza 2na nn?Umekosea siko form four mm n advance mtarajiwa mwaka huu
Wana JF.Naomba mwenye uzoefu.
Hivi unaweza kusoma Udakitari au masuala ya afya kama umechukua combination ya CBG?
ahsante
Bwojo
Unasoma bila tatizo lolote.! Kwenye Udaktari wanaangalia sana Chemistry na Biology, mimi mdogo wangu alisoma CBG ila yupo MD mwaka 3 pale MUHAS.! na kuna jamaa yangu nilimalizaga naye Form 6 miaka hiyo alikuwa na B ya Chemistry, B ya Biology na F ya Physics lakini alichaguliwa kusoma MD pale MUHAS na sasa ni Daktari mzuri tu.! Cha muhimu uwe na ufaulu mzuri kwenye Chemistry na Biology
Watu wa PCB wanafeli physics sio kwa bahati mbaya bali ama kwa kiupuuza au kujikita sana kwenye Chemistry & Biology kama ambavyo watu wa PCM wanavyofanya kwa Chemistry!! Na hii inatokana sana na kujisahau.... unakuja kushituka ushaingia Form VI... mambo mengi muda mfupi kwahiyo automatically unalazimika ku-drop lile somo unaloona sio compulsory kivile!Wakuu nahitaji msaada wenu Mimi ni kijana niliyemaliza mwaka 2015 kidato cha nne lengo langu kubwa lilikuwa ni kwenda advance kuchukua pcb lakni katika kufuatilia watu wengi wanaosoma pcb wamekuwa wakipoteza ndoto zao za kuwa madaktari hasa katika somo la physics hvyo nimeamua nikasome cbg je wakuu ntakuwa na future nzuri baadae kama nikisoma