Habari wakuu, jamani naombeni msaada wenu ndugu yangu amemaliza kidato cha nne mwaka jana na amepata credit za kusoma form five kwa HKL, HGL na HGK yeye alipitia huu mfumo wa QT sasa anataka kusoma advance kwa mwaka mmoja, je inawezekana, ana nafasi ya kufanya vizuri na baada ya hapo anaweza kusoma degree kwa ufaulu upi kozi gani na katika vyuo vipi? Asanteni