Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Hapo kwenye Red umetisha mkuu.
 
ni sawa yupo kando ya mto,anahitaji kuvuka na hana means yoyote she have to do it,bora arudie tu,coz hali itakuw mbaya zaidi akikaa mtaani hana cheti hana ujuzi wowote mtaani,mwisho wa siku atabaki kuw mzigo kwako au utampoteza kabisa,muwahi bado mapema na mpe ushauri pia since bado mdogo asome tu.
 
Mtu hufanya vizuri zaidi chochote anachopenda! kumpeleka shule tena kama umri unaruhusu ni sawa kama anapenda! ila elimu ya shule sio kila kitu! atafute short course za maana asome! alluminium, mechanics, electrical etc
 
watu mnachekesha sana Tz bila chetibcha 4m4 si lolote wala chochote atarudi tu kukitafuta, mkuu kwa vile ni wa kike option ya kwanza arisiti tu na ukae umwambie ukweli hata form 2 sio mbaya
 
atasoma sawa ila hizo ni short koz je anaweza kukaa gereji au kufunga wiring nyumba? akitaka kuendelea mbelee sharti cheti.awe nacho
 
watu mnachekesha sana Tz bila chetibcha 4m4 si lolote wala chochote atarudi tu kukitafuta, mkuu kwa vile ni wa kike option ya kwanza arisiti tu na ukae umwambie ukweli hata form 2 sio mbaya
Kila alefanikiwa hapa duniani amesoma sio? elimu sio kila kitu
 
Hata mimi nilikuwa nawaza hivi mkuu, asante

mrudishe mtoto darasan tena 4m2 kabla.akil haijachanganywa, ufundi upi.huo.ww, sawa veta ataenda maana hatakua na tofaut na asieenda shule akiwa veta akimaliza akataka kwenda mbele cheti ni LAZIMA sio.ombi
 
Kuna migration ya watu toka Arusha kwenda kilindi kukamata pori la kulima na kufuga, nadhani ni vizuri akaelekea huko
 
Mpeleke Akapige Shule Aanze Na P3 Dunia Ya Sasa Bila Chet Cha Form4 Ndugu Majanga Na Istoshe Umri Wake Bado Kinda Mrudishe Shulee Uyo Mapemaaa Bado Wa Motomoto
 
Mtafutie shule aanze form two ila aki resit atazeekea shule huyo
 
Ni shule gani ambayo amemalizia? labda shule ndo imesababisha kwa binti yako kuanguka kimasomo
 
Mdogo angu amepata div 4 point 28, je ni fani gani anaweza somea? Mpaka sasa nimewaza jeshi na ualimu ila sijajua kama vigezo vya kupata hizo nafasi.

Kama kuna mtu ana uelewa wa hizo nafasi au anaweza akatoa ushauri mwingine wa nini afanye nitashukuru.
 
Weka mchanganuo wa kila somo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…