Haya matokeo ndiyo hayo yametoka!! Kila kitu hadharani, sasa ukiwa hapa JF ndo mpango nzima!! Manake watu washaanza kuhoji, mi nina hiki au kile nitafanyaje, haya ngoja nitajaribu kuweka mwongozo na alternatively nyingine due to spme perfomances kwa wote, manake naona huku kitaa watu wanadanganyana sana!!
Hii ni kwa kadri ninavyofahamu mimi, kama kuna marekebisho basi yafuatie:
=> Credit Qualification kwa hali ya kawaaida ni 'C'-Na ili uende Form 5 unahitaji uwe na C 3, hapa ni either umebalance Combination(Comb) au hujabalance. Sasa kama una C 3 na comb hujabalance, hautachaguliwa serikalini bali shule binafsi utaenda kusoma mchepuo utakaofanana na masomo yako.
[ Mfano: Civ-C, Kisw-C, Geo-C...unaweza fanya HGK ama HGL ama kozi nyingine hata kama english na History una D].
=>Ukiwa na C 2 na D kadhaa(lets say 4 ya 26), hapa utaweza kwenda Form 5 shule za Private lakini utatakiwa utafute C ya 3 kw kureset wakati upo form 5. Same na C 1 You need to re-sit.
=> Hapa sasa ndipo kwenye utata. Ukiwa na D 3, kiukweli sahau Form 5 kama hauhitaji kurisit, sasa qualification hizi zina option zifuatazo:
1. Unahitaji kupiga long pass kwa kwenda Chuo kwa ngazi ya Certificates. Duraation ya hii kozi ni 1 year Certificate. Sasa hapa kuna vyuo kadhaa vinavyotoa certificates. Hapa ni D za masomo yoyote yale Basic(sina uhakika kama B/Knwoledge na Islam zinazingatiwa na ndio maana nasema D za Basic Subjects)
Mfano: Unaweza kufanya Certicates vyuo vya CBE-Mambo ya Biashara, IFM, TIA, Utumishi wa Umma(Public Service) Vyuo vya Kilimo na Ualimunk.
Nakozi nyingi tu wanatoa kwa certificates..mfano Procurement, Accounts, Public Admistration, Recording, Clearing and Forwarding, Social Development, Secretarial Duties, Education nk.
=> Ukiwa na D 4 upo qualified kufanya ngazi ya certificate kama nilivyoanisha hapo juu.
=> Ukiwa na D 5 sasa hapa wewe umeula!! Hapa unaruhusiwa kabisa kufanya Basic Diploma katika vyuo vyote wanavyotoa Duploma. Kwa mfano vyuo hivyo nilivyovitaja hapa JUU, chukua form yako kwa maringo achana na biashara ya kurisit omba kozi ya diploma, Teana kama una D ya hesabu na English ndo inakuwa rahisi zaidi kuchukuliwa.
=> Kwa wale waliosoma mahesabu kuna vyuo vingine kama DIT(Daar Institute), AIT(Arusha Inst) na Mbeya Tech Msishau kufanya maombi, na kwale waliopiga fresh Biology with minimum of D angalieni option za Nursing ni nzuri sana na katika vyuo vya MATC na COTC.
Kama kuna marekebisho yanakaribishwa na kama hoja ama daubt basi uwanja ndio huu. Most welcome!!
![]()
![]()
Jaman ntafutieni chuo cha ku_apply dada angu hata nafasi ya moja kwa moja ana div. IV ya 29
Cna mpango wa kwenda advance..nina dvsn 1 ya 17 yn B 4 na C 5,na nina mpango wa kuchkua coz za sayanc eg arc,civil,I.T,I.C.T, au minng ila ngeitaji ushauri coz gani tkw the best..plz naitaji ushaur help l b gr8ful
xaxa kwa mfan mtu anapenda apge PCB au CBG af kwa bahat mbay chemia anapat D na ayo mengne anapga flesh tu vp anaweza chaguliw kwend 5 au*? Plz help me
Kwa kwel inashangaza,m2 anakuwa famous wa kuanalyz mambo ktk jf,mpeleke clas yaan ni full mental detoriation!
Sa nani asiyejua acha kujipendekeza kila mtu yanayomhusu anayajua,ushatuona humu jf wote mbulula eeee,anzisha darasa kwako sio huku
Hujalazimishwa kucomment. Kama wewe unajua piga kimya tembea kwa thread nyingine. Hii ni kwa wasiofahamu tu.
haya matokeo ndiyo hayo yametoka!! Kila kitu hadharani, sasa ukiwa hapa jf ndo mpango nzima!! Manake watu washaanza kuhoji, mi nina hiki au kile nitafanyaje, haya ngoja nitajaribu kuweka mwongozo na alternatively nyingine due to spme perfomances kwa wote, manake naona huku kitaa watu wanadanganyana sana!!
Hii ni kwa kadri ninavyofahamu mimi, kama kuna marekebisho basi yafuatie:
=> credit qualification kwa hali ya kawaaida ni 'c'-na ili uende form 5 unahitaji uwe na c 3, hapa ni either umebalance combination(comb) au hujabalance. Sasa kama una c 3 na comb hujabalance, hautachaguliwa serikalini bali shule binafsi utaenda kusoma mchepuo utakaofanana na masomo yako.
[ mfano: Civ-c, kisw-c, geo-c...unaweza fanya hgk ama hgl ama kozi nyingine hata kama english na history una d].
=>ukiwa na c 2 na d kadhaa(lets say 4 ya 26), hapa utaweza kwenda form 5 shule za private lakini utatakiwa utafute c ya 3 kw kureset wakati upo form 5. Same na c 1 you need to re-sit.
=> hapa sasa ndipo kwenye utata. Ukiwa na d 3, kiukweli sahau form 5 kama hauhitaji kurisit, sasa qualification hizi zina option zifuatazo:
1. Unahitaji kupiga long pass kwa kwenda chuo kwa ngazi ya certificates. Duraation ya hii kozi ni 1 year certificate. Sasa hapa kuna vyuo kadhaa vinavyotoa certificates. Hapa ni d za masomo yoyote yale basic(sina uhakika kama b/knwoledge na islam zinazingatiwa na ndio maana nasema d za basic subjects)
mfano: Unaweza kufanya certicates vyuo vya cbe-mambo ya biashara, ifm, tia, utumishi wa umma(public service) vyuo vya kilimo na ualimunk.
Nakozi nyingi tu wanatoa kwa certificates..mfano procurement, accounts, public admistration, recording, clearing and forwarding, social development, secretarial duties, education nk.
=> ukiwa na d 4 upo qualified kufanya ngazi ya certificate kama nilivyoanisha hapo juu.
=> ukiwa na d 5 sasa hapa wewe umeula!! Hapa unaruhusiwa kabisa kufanya basic diploma katika vyuo vyote wanavyotoa duploma. Kwa mfano vyuo hivyo nilivyovitaja hapa juu, chukua form yako kwa maringo achana na biashara ya kurisit omba kozi ya diploma, teana kama una d ya hesabu na english ndo inakuwa rahisi zaidi kuchukuliwa.
=> kwa wale waliosoma mahesabu kuna vyuo vingine kama dit(daar institute), ait(arusha inst) na mbeya tech msishau kufanya maombi, na kwale waliopiga fresh biology with minimum of d angalieni option za nursing ni nzuri sana na katika vyuo vya matc na cotc.
kama kuna marekebisho yanakaribishwa na kama hoja ama daubt basi uwanja ndio huu. Most welcome!!
![]()
![]()