Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Aliyopo moshi na alichelewa nafundisha kwa bei cheap pia

Soon natoka kagera,napeleka mzigo geita na mwanza then ijumaa nakuwa moshi kwa wife mapumziko na kutrade

So natoa msaada wa bure just laki2 tuu
Watu kama nyinyi ndio tulisemaga mwanzoni. Roho ya kiafrika waziwazi. Toka lini ukatoa msaada kwa kuchaji hela ya juu zaidi kuliko chief mentor. I expected walau elfu 50
 
Aliyopo moshi na alichelewa nafundisha kwa bei cheap pia

Soon natoka kagera,napeleka mzigo geita na mwanza then ijumaa nakuwa moshi kwa wife mapumziko na kutrade

So natoa msaada wa bure just laki2 tuu
Umeunguza account unatafuta wa kukupa dola 100 kiurahisi uanze upya...
 
Wadau wa hii kitu mliokosa nafasi ya training sehemu nyingine mnaweza kujoin hii shule kwa wadau wa mbeya nafasi zmebaki chache na training inaanza tar 30 oct
Na link ni TMT FOREX HIGHLAND ZONE
Karibuni
 
Kama utaratibu ni wa zones basi tutakosa wengi maana wengine tuko makazini si rahisi kuhudhuria nje ya mkoa wako
Cna uhakika sana though, jarb kuchek na karb na huko... Mana hapa twafanya gueswork, lakn mwenyewe kaandika "mkoa kwa mkoa"... Ila whatsapp groups ziliundwa kwa kufuata zones, co mkoa
 
Mikoa ya Singida na Manyara ni lini?
Jamaa watafanya training mbeya then ni kati ya dar au mwanza baada ya hapo ni mpaka mwakani coz trainer wanarudi kwao na sir jeff anaenda kupumzika mapumziko marefu, so ukikosa nafasi ya mbeya ni mpaka mwakani coz Dar kumeshaja tayari labda kama itakuwepo Mwanza
 
Nimemaliza training Jana. I'm not the same guy who came to TMT last Monday!

Hakika nimepata knowledge itakayo nifaa for life.

This thing has to be taught in schools. Tutabadilisha maisha ya watu wengi sana kwa kushinda hii vita ya UHURU WA KIUCHUMI.

I'm a TMT ambassador now. I'll make sure I spread the good news to everyone I know.

Uzuri ni kwamba hatuuzi matikiti kwamba kukiwa na wauzaji wengi tutakosa soko!

We are in the world of endless opportunities for everyone who is willing to take them.

Sitaki kuzungumzia kiasi nilichotengeneza au nitakacho tengeneza hivi karibuni.

I will testify after six months!

It's a liberation movement, you can join us or you can watch us grow!

Results or excuses, the choice is yours. Have results and earn respect or have excuses and earn sympathy!

Peace be upon you!
Jamani nahitaji kufanya hiki kitu. Nakupataje? Namba yangu ya simu hii hapa 0787-786962. Let me be your student if you don't mind my friend
 
Back
Top Bottom