Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Hizi issue za forex hazijakaa vizuri sana... Ila kinachoshangaza ni jinsi buying training package inavyokuwa pushed.. Inaonekana kama lengo ni kuuza package na siyo training yenyewe.. Kama ni training inatakiwa ijitegemee na isingekuwa na haya kuendelea kuchangia kila mwezi kiasi cha hela..

Kama sijakosea ni MLM ya training , lakini wanatumia bait ya forex kupata watu.
Nani kasema kuna package zinauzwa?

Nani kasema watu wanachanga pesa kila mwezi?
 
Group admin wa nyanda ya kusini(mbeya) au mwenye namba yake naomba anisaidie
 
Hizi issue za forex hazijakaa vizuri sana... Ila kinachoshangaza ni jinsi buying training package inavyokuwa pushed.. Inaonekana kama lengo ni kuuza package na siyo training yenyewe.. Kama ni training inatakiwa ijitegemee na isingekuwa na haya kuendelea kuchangia kila mwezi kiasi cha hela..

Kama sijakosea ni MLM ya training , lakini wanatumia bait ya forex kupata watu.
Training ndio ina subsidize ujinga wanaoita forex.Anayway wana nguvu ubwa kuliko ushoga.Ukiongea wanafiki wa kitanzania wanakuona unataka wapangia hela.Wanakueleza wazi kwa vile akili zao zinawaambia swhere kuna hela.Hadi itokee great bubble bust. Pulizo lipasuke.
 
Katika ili bandiko kuna sehemu umeona mtu amechangishwa pesa tofaut na iyo ada ya 130K ama ume amua kucoment tuu??
 
Training ndio ina subsidize ujinga wanaoita forex.Anayway wana nguvu ubwa kuliko ushoga.Ukiongea wanafiki wa kitanzania wanakuona unataka wapangia hela.Wanakueleza wazi kwa vile akili zao zinawaambia swhere kuna hela.Hadi itokee great bubble bust. Pulizo lipasuke.
Kilaza at work
vipi ulisha enda kushtaki kule BoT??
 
Kitu nachofikira je Biashara hii huezi jifunzia online .maana mpaka wakina ontario watufikie na sisi n mda
 
Inawezekana mkuu mfano kuna accademies kupitia brokers lkn kupata basic initial knowledge ni muhim mtu huwezi kuanza mwenyewe ukaweza kuna vitu vingi
 
Sema tatizo n mda aisee! Wakina Ontario wange organize ata online classes mtu alipie ndio aweze kupata access ingekua poa sana.
 
we jamaa nakukubali sana naomba ukija arusha tuonane hata mimi nafanya trading ila kwenye crypocurrency na trade biticoin na ethereum let's meet bro
 
Back
Top Bottom