Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 795
- 658
Naomba Kueleweshwa hapo kulingana na Muda wetu hapa Tanzania tunatumia ipi kati ya EDT na GMT katika masaa halisi yakutrade
Mkuu naomba unitumie TimeTable hyo
Naomba Kueleweshwa hapo kulingana na Muda wetu hapa Tanzania tunatumia ipi kati ya EDT na GMT katika masaa halisi yakutrade
Naomba Kueleweshwa hapo kulingana na Muda wetu hapa Tanzania tunatumia ipi kati ya EDT na GMT katika masaa halisi yakutrade
Mkuu hiyo ni real au demo? Naona umetumia lot kubwa sana 1.30 !! Hongera though...Sipendagi ujinga simba mwinda pole ndo mlanyama
Waacha bwana Embu tupe evidence sio tu unasema scam then unasepa toa ufafanuzi zaidi tujue sisi tulinunua mpaka vitabu tunasoma tusiendelee kupoteza muda.Baada ya kuchunguza sana na kutumia Demo account nikagundua huu ni utapeli. A total scam.
Baada ya kuchunguza sana na kutumia Demo account nikagundua huu ni utapeli. A total scam.
Waacha bwana Embu tupe evidence sio tu unasema scam then unasepa toa ufafanuzi zaidi tujue sisi tulinunua mpaka vitabu tunasoma tusiendelee kupoteza muda.
Mkuu umekuwa too general, embu elezea utapeli huo uliouona, mimi baada ya kusoma uzi huu, nilianza kufuatilia toka vyanzo vingine, baada ya kujiridhisha nikaamua kuanza kusoma kama mwanzisha uzi alivyoshauri kila mtu anayetaka kunufaika na hii business lazima aielewe ins and outs zake, so niko nakomaa na kitabu hapa mbaya kabisa.Baada ya kuchunguza sana na kutumia Demo account nikagundua huu ni utapeli. A total scam.
Kwanini mkuu hebu tupe matokeo ya huo uchunguzi.Baada ya kuchunguza sana na kutumia Demo account nikagundua huu ni utapeli. A total scam.
Baada ya kuchunguza sana na kutumia Demo account nikagundua huu ni utapeli. A total scam.
Mzee sisi tunakufa wenyewe, we bakia mzima tuBaada ya kuchunguza sana na kutumia Demo account nikagundua huu ni utapeli. A total scam.
umechoma demo ngapi??? unaenda vitan huna silaha unategemea nini, Soma kwanza, soma kweli kweli, Unajua maana ya kusoma? Unatakiwa usome na uhakikishe unaelewa kwa namna yeyote, la sivyo achana nayoBaada ya kuchunguza sana na kutumia Demo account nikagundua huu ni utapeli. A total scam.