hindustan
Senior Member
- Oct 15, 2014
- 184
- 180
asante sana kwa huu ushauri...Chukua forex bible, Kina page 600, ila idadi ya page zisikuogopeshe, kwa maana kilivyoandikwa unaweza maliza page 100 au zaidi kwa siku ukikomaa.
asante sana kwa huu ushauri...Chukua forex bible, Kina page 600, ila idadi ya page zisikuogopeshe, kwa maana kilivyoandikwa unaweza maliza page 100 au zaidi kwa siku ukikomaa.
Uwepo wa Oil unatokana na Broker na sio platform.Kwenye mt4 hakuna oil
duuuj hatimaye dummies kimeisha.... technical analysis still changamoto... ngoja nirudie tena kwenye vitabu vingine
Sorry, hiyo ndio nafasi yangu, jaribu 300jamaan hao 300@ONTARIO naomba niwe wa 299
ilikua ni kwa ajili ya ebay naweka mpunga paypalSio lazima uibadili kuwa ya dolar
Mkuu nkwarisambu umeamuaMkuu dummies ngumu kueleweka (inawezekana kwangu labda)...mm nilianza nayo nikawa naona mapichapicha tu...nikaipotezea nikachukua naked forex...nikaanza kuelewa...nikamaliza naked nakapiga AstroFx...nikapata mwanga zaidi...nikarudi tena kwa dummies....ikawa mtelezo tu...sasa hv nataka kuanza Bible la forex..
Hii kitu sikuwahi kuisikia Kabisa ila kwa sasa hata nikukutana na mkongwe wa forex tutakuwa tunaelewana kilugha..
Sorry, hiyo ndio nafasi yangu, jaribu 300
Mkuu huu uzi umeusoma wote?nina vitu kadha vina nichanganya sana katikaa swala la forex nimesoma iasi ila bado naitaji ujuzi zaidi hasa katika ili jukwaa. mimi natumia demo za ironfxm,xm,na iq option na katika zote rahisi kuliko ni iq option ambayo na shawishika kuweka mkwanja japo bado mapema sana, nime pitia sana hiz ironfx na xm ila naona natengeneza profit tu sasa nataka kuweka nguvu katika real account. maswali yangu ni kama haya:
1: nimda kani mzuri wa ku sell?
2:na je wakati una buy ule upande wa profit huwa ni profit au ni makusanyo ambayo utapata faida ukiwa una sell.
3:na kuhusu short sell kama nchi za london,singapore,na usa. ni mda gani hasa wana fungua na jinsi ya ku trade at that time.
4:kuhusu ku withdrawal mimi nina kadi ya crdb pamoja na skrill. je hawasumbui kati swala la ku toa pesa. na kama ni crdb ni unafungua account ya online au unatumia ya kawaida.
5:mbona binary option ya iq option iko rahisi sana kuna mtu asha wai sikia kuhusu hawa broker
Mbona paypal nao wanabadili wenyewe ikiwa una acc ya sh haina shidailikua ni kwa ajili ya ebay naweka mpunga paypal
Mkuu hongera kwa speed ya kusoma,na pongezi kwa kuchukua hatua,vitabu vyote recomended ninavyo kasoro hicho cha forex bible,msaada wa kukipata softcopy au kama kuna link ilitolewa humu sijaona naomba msaada nikipateMkuu dummies ngumu kueleweka (inawezekana kwangu labda)...mm nilianza nayo nikawa naona mapichapicha tu...nikaipotezea nikachukua naked forex...nikaanza kuelewa...nikamaliza naked nakapiga AstroFx...nikapata mwanga zaidi...nikarudi tena kwa dummies....ikawa mtelezo tu...sasa hv nataka kuanza Bible la forex..
Hii kitu sikuwahi kuisikia Kabisa ila kwa sasa hata nikukutana na mkongwe wa forex tutakuwa tunaelewana kilugha..
Kuna mdau alipost , Mwl.RCTMkuu hongera kwa speed ya kusoma,na pongezi kwa kuchukua hatua,vitabu vyote recomended ninavyo kasoro hicho cha forex bible,msaada wa kukipata softcopy au kama kuna link ilitolewa humu sijaona naomba msaada nikipate
Mkuu pangah asante kwa download link,,lakini haifunguki hii,nikifungua inanipeleka kwenye software ya kufungulia ambayo sina kwenye PC yangu,,mdau yeyote ambaye anaweza aka upload forex bible hapa ili tukipakue ambao hatujakipataKuna mdau alipost , Mwl.RCT
Download link: The Forex - Books[Mwl.RCT].zip
File size: 39mb
Books Uploaded
1. AstroFX Training Book
2. Naked Forex High-Probability Techniques for Trading Without Indicators -Wiley Trading
3. The Forex Bible
4. Forex Godfather Elite - Mpangilio wake nikama wa Babypips .COM
Mbona ukienter apo inaenda moja kwa moja kwenye email yako apo vpKuna mdau alipost , Mwl.RCT
Download link: The Forex - Books[Mwl.RCT].zip
File size: 39mb
Books Uploaded
1. AstroFX Training Book
2. Naked Forex High-Probability Techniques for Trading Without Indicators -Wiley Trading
3. The Forex Bible
4. Forex Godfather Elite - Mpangilio wake nikama wa Babypips .COM