Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Daa wadau mi mgeni kwenye hili suala japo nina knowledge kidogo ya forex
Sijui mtanisaidia jinsi ya kujoin katika hii biashara maana naona imeshika hatamu
 
Ukishakuwa na knowledge kdg hauw mgeni tena
 
Ugeni wangu upo kwenye jinsi ya kujoin na kupata access tu
ANZA NA MTAJI WA BURE WA $30 [NO DEPOSIT BONUS] YA TEMPLER.

[TERMS AND CONDITIONS LINKED]

Huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine, kama mimi, tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....

Ikumbukwe kwamba, Templer pia atakupa uwezo wa kufund na kuwithdraw pesa zako kupitia Mpesa, kama utachagua kuendelea kumtumia, hata baada ya kupoteza hyo $30.

(Don't Worry, Hautodaiwa kama ukiiunguza)

ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.

HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:

Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus

2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.

3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok

4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:

NDB30JN42017

Then submit.

5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.

6. Kama huna MT4 for Android ,download hapa:

MetaTrader 4 – Applications Android sur Google Play

Start Trading!!
TRADE SAFELY!

Ukihitaji msaada wowote kuhusu kuipata hii bonus, nicheck inbox

Terms And Conditions hapa:

TemplerFX No Deposit Bonus Agreements
 
Shukrani mkuu acha nilifanyie kazi mara moja
 
Sorry mkuu... hivi wewe ni wakala wa TemplerFx??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom