Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
*TemplerFX*

Habari wakuu , mkombozi amekuja nae ni TemplerFX, ni broker mwenye Spread chache ambazo wewe kama Trader inakuwa na manufaa kwako sana hasa katika muda wa kuanza kuiona faida wakati soko linaelekea upande wako kwani utaiona mapema ukilinganisha na mabroker wengi wenye spread kubwa wanafanya uchelewe kuona faida na kuwa kwenye loss ndani ya muda mrefu hata kama soko linaelekea upande wako.

Taratibu za kujiunga ni nyepesi mno , wanahitaji kitambulisho cha kura / passport/leseni ya udereva., Kimoja kati ya hivyo pamoja na namba yako ya simu ya Vodacom ambayo utaitumia kuweka na kutoa pesa kwa wakala wako,.

Link ya kujiunga hii hapa Templer FX Trader

Note: Ukipata tatizo wakati wa kujisajili wasiliana na mimi PM nitakusaidia.

Kujisajili haichukui muda mrefu, ndani ya saa moja unaweza kukamilisha kila kitu na kuanza trade .
Ni muuaji wa usiku, ukilala na trade spread za uj zinafikia 150, mnajali commission za link zenu mnasahau mitaji ya ndg zenu.
Fx sio kutoa kwa urahisi pekee, hata pesa ikichelewa kuingia kwenye akaunti kwa siku 2 lkn iwe salama ni bora kuliko kuunguza acc. Wengi wamelia.
Ushahidi ninao

Mimi pia nina account huko, But jamaa anampigia debe bila kuweka wazi mapungufu yake...... Spread za usiku ni kubwa hadi zinashangaza.

Ok poa.. si kwa kupiga debe huko.
Plus ukiangalia post zangu mwanzo nlikuwa napost kuhus instaforex, walikuwa wanatoa $1000, kama nliipata, why nsisaidie wengine kuipata? Not everyone can afford $30 as starting capital, if you have a way to help, you help, boss...

Mimi pia nina account huko, But jamaa anampigia debe bila kuweka wazi mapungufu yake...... Spread za usiku ni kubwa hadi zinashangaza.
Broker yeyote mwenye floating spreads, ucku na asbh spreads huwa kubwa, nahc kuna group tupo pamoja, uncheck nkupe screenshot za spread za asbh

Broker yeyote mwenye floating spreads, ucku na asbh spreads huwa kubwa, nahc kuna group tupo pamoja, uncheck nkupe screenshot za spread za asbh
Sawa mkuu, kanipe tuu... nizikute labda nitaelewa zaidi... naenda kuwasha data sipo online kule.

Ni muuaji wa usiku, ukilala na trade spread za uj zinafikia 150, mnajali commission za link zenu mnasahau mitaji ya ndg zenu.
Fx sio kutoa kwa urahisi pekee, hata pesa ikichelewa kuingia kwenye akaunti kwa siku 2 lkn iwe salama ni bora kuliko kuunguza acc. Wengi wamelia.
Ushahidi ninao
Bro, nimeburn acc zaidi ya 4 na katu, ctotaka kulaumu ukubwa wa spread kwamb ndo umechangia.

Kwanini?

Kwa sbb kama spread ndo chanzo cha kuburn acc, then suala zima la kutrade halina maana, kwa sbb hzo huwez kuzikwepa.

Ila ukweli utabaki palepale, kwamba MOVEMENT YA MARKET ya upande tofaut na direction uliyotrade ndo inayoburn.

Hata ungehold position yenye spread zero, kwa pips 200 unatarajia nini?

Spread is nothing, movement is the cause.

Wanasema

"FUNDI ASIYE NA UJUZI HULAUMU VYOMBO VYAKE"

naona umeanza, na katu htofanikiwa, kwa sbb hautaki ku take responsibility kwa your trading actions, unatafuta wa kum blame...

Ukikubali kwamba WEWE ndo uliekosea, utajifunza, ukiendelea kulaumu Spreads, hakuna lolote utajifunza... Na utaendelea kulalamika tu.

kumbuka forex haramu kwa muislam
Screenshot_20171202-180735.png
kwanini boss? Na akaunti kama hii imetokea wapi?

Pia ngependa kujua zaidi nini maana ya kuunguza account kuna mtu pia alisema kuungua kwa account kunatokana na nini asaante

Pia ngependa kujua zaidi nini maana ya kuunguza account kuna mtu pia alisema kuungua kwa account kunatokana na nini asaante
Kula loss mkuu na kupoteza almost mtaji wako wote

Sababu ni poor risk management

Pia ngependa kujua zaidi nini maana ya kuunguza account kuna mtu pia alisema kuungua kwa account kunatokana na nini asaante
Hzo ni akaunt 2 tofauti za watu wawl tofauti ambao walikuwa wanatrade na wakakosea na kupoteza mtaji wote...

Huko ndo kwaitwa kuunguza akaunti

Wale wanotaka kutoa hela kwa mpesa bas templer ni broker pekee anaeruhusu kutoa na kudeposit kwa mpesa..ni chap tu

https://secure.templerfx.com/login?rid=106853

Pita hapo kweny hiyo link...
<br / nilitoa hela ya mboga tu na hii ni miamala niliyo tumiwa via mpesa
e9adc50fd5f2a8b6a2c89da652b05bb1.jpg

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom