AMLIGHT
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 1,140
- 824
Thanks boss... Unanifanya nitamani kuchoma nyingine....Ukiendelea na hii spirit uliyonayo ya kutokata kata tamaa na kujifunza kutokana na makosa utafika mbali ktk hii biashara
Thanks boss... Unanifanya nitamani kuchoma nyingine....Ukiendelea na hii spirit uliyonayo ya kutokata kata tamaa na kujifunza kutokana na makosa utafika mbali ktk hii biashara
Kufanya kosa si kosa, kosa ni kurudia kosa.Thanks boss... Unanifanya nitamani kuchoma nyingine....
Ah, long time sana mwalimu...Kufanya kosa si kosa, kosa ni kurudia kosa.
Hongera sana
Unatumia BROKER yupi??Ni bahati kuchoma akaunti, nazo smtym haziunguagi kirahc... Mi nimechoma 3 tayari, lakn najua ninachokitaka ntakipata tu.
Bahati nzuri, broker wangu ninaweza kufund akaunt hata kwa mpesa, so ni easy, nachoma akaunt, naenda tu mpesa, naifund, narud kuendelea kujifua, ili nijue,
Kwanini Iliungua?
Huyu http://bit.ly/2hrv3YoUnatumia BROKER yupi??
v moneyAache kuwa follow akina Wema, Giggy, Mange ahamie kuwa follow akina Cre aka V money
Hawana App yao palystore???
No. Ila wanatumia hii MetaTrader 4 – Програми Android у Google Play kufanya tradingHawana App yao palystore???
Kwa mwaka huu umechelewa, anza kujinoa kwa kusoma na kufanya ktk demo acc ukijiandaa na darasa la mwakaniAsante sana mkuu kwa hii thread nzuri, kama vpi mambo yakiwa tayari tupe utaratibu.
Watu wana download pesa we unasema mambo yakiwa tayari???? Unazeeka haraka sana mkuuAsante sana mkuu kwa hii thread nzuri, kama vpi mambo yakiwa tayari tupe utaratibu.
Sorry boss, maximum withdrawal via Mpesa ni kiasi gani, na withdraw process inachuku siku kama ngapi kukamilikaSorry boss, I meant to say "broker's spread"
Sorry boss, maximum withdrawal via Mpesa ni kiasi gani, na withdraw process inachuku siku kama ngapi kukamilika
Mi nikiwithdraw huwa inachukua kama 2hrs max, kuingia. Japo inaweza kuzidi ukitaka kuwithdraw in the middle of the night...Sorry boss, maximum withdrawal via Mpesa ni kiasi gani, na withdraw process inachuku siku kama ngapi kukamilika
mkuu naomba msaada wa vitabu kama vipo namimi nipate ufahamu mzuri kuhusu forexKwa mwaka huu umechelewa, anza kujinoa kwa kusoma na kufanya ktk demo acc ukijiandaa na darasa la mwakani
mkuu naomba msaada wa vitabu kama vipo namimi nipate ufahamu mzuri kuhusu forex
Ila ukishasoma na kuelewa na kufanya practice sana ,jitahidi ujiongoze mwenyewe .mkuu naomba msaada wa vitabu kama vipo namimi nipate ufahamu mzuri kuhusu forex