luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,798
Mke
wangu tangu
ajuinge forever living amebadilika kabisaa kwanza amekua na jeuri na
amekua haoni umuhimu wa mahusiano yake anasema hana shida na mme ni mtu
wa jeuri.
Kwa sasa nimejitaidi kumusihisi abadilike hakunaa nimetumia hata rafiki
zake lakini hakuna sijui kapata bwana hukoo amekua jeuri sana kabadilika
sana sana yani sijui nifanye nini.
I hate foreverliving.
mke au gf? kama mke basi ulioa ukiwa mdogo kutokana na nilivokuona.
afu
kama ndo umeanza kazi bas kakuzidi kipato anakuona tegemezi.
pole sana ndo ushaachwa. usijari utapata na wadada wapenda mahandsome ni
wengi hata humu jf wapo, yakikushinda tafta ustaraabu mwingine
poleeee.
dah mapenzi ya siku hizi majanga.