natamani kuona comments nyingi sana kwenye huu uzi ngoja nisubiri
Mkuu jiunge nawewe muende sambamba kote anakoenda
Pole kama ni mkeo una mamlaka nae zuia asiende tena huko au fungia ndani
ataweza kubembeleza wateja kama mke wake anavofanya?
Eeeh umeongea kitu kizur ila anampenda