Forever Living imeniachanisha na mke wangu

Forever Living imeniachanisha na mke wangu

Ukiona mume au mke kabadilika jua tayari kuna anae mpa jeuri, mapenz yanatesa sana.
Nadhan hkuna kitu kinatesa na kuumiza zaid km mapenzi.
 
Mke wangu tangu ajuinge forever living amebadilika kabisaa kwanza amekua na jeuri na amekua haoni umuhimu wa mahusiano yake anadema hana shida na mme.

Ni mtu wa jeuri kwa sasa. Nimejitaidi kumusihisi abadilike hakunaa, nimetumia hata rafiki zake lakini hakuna.

Sinui kapata bwana huko? Amekuwa jeuri sana, kabadilika sana sana yani sijui nifanye nini.

I hate Forever Living
Achana nae panya huyo asikupande kichwani
Kwanza wanawake wapo wengi saanaa unapata tabu ya nini.
Tena kabla ya kumuacha unatakiwa u'mjoyce kiria ili akili imkae sawa huko atakapoenda[emoji35] [emoji35]
 
Mke wangu tangu ajuinge forever living amebadilika kabisaa kwanza amekua na jeuri na amekua haoni umuhimu wa mahusiano yake anadema hana shida na mme.

Ni mtu wa jeuri kwa sasa. Nimejitaidi kumusihisi abadilike hakunaa, nimetumia hata rafiki zake lakini hakuna.

Sinui kapata bwana huko? Amekuwa jeuri sana, kabadilika sana sana yani sijui nifanye nini.

I hate Forever Living
Tupe mrejesho mkuu, vipi mkeo amejirekebisha?
 
Wewe Ndo ---- Kabisa,wanaume Kama Wewe Huwa Mnanikera Sana,kwanza Nyambaf Zako,mke Wako Ana Dalili Zote Za Kugawa Papuchi Nje Ya Ndoa Wewe Unakuja Hapa Unalia,unalia Nini? Eti Mke Wangu Amekuwa Kiburi Hasikii,mpige Chini Utafute Mwingine Umekaa Kama Zoba Zoba Tu Hadi Uletewe UKIMWI Ndo Akili Ikukae Vizuri,unaposoma Huu Uzi Wangu Rudi Nyumbani Haraka Kaifukuze Hiyo Kenge,wanawake Wote Hawa Walivyojaa Duniani Kama Mchanga Wa Bahari Wewe Unalia Lia Ujinga Hapa? Au Anakutunza Huna Kazi Yoyote Au Biashara Ya Kuingiza Kipato? Kama Hakutunzi Vunja Ndoa Hiyo Ya Kijinga,imeshaingia Doa Tayari,ukiendelea Kukaa Naye Utakuja Humu Siku Moja Unataka Kujiua Yamekukuta Makubwa Zaidi.
Duh
 
Nilishawahi kushawishiwa na mshikaji wangu mmoja nikiwa chuo mwaka wa pili ili niifanye biashara ya forever living,nilipofanya mahesabu nikagundua kuwa ni biashara ngumu sana kuliko vile ambavyo watu wamekuwa wakisimulia,pia hiz biashara za kutembea Dada ze2 wanaachia sana chini (refer kwa wale wanaouza mihogo na matango posta-Dsm) wengi wanainamishwa kwenye maofic!
 
Kashaambiwa anaweza miliki magari kwa biashara hiyo ya kiguu na njia.... Unadhani atahitaji mume wa kazi gani tena
 
Back
Top Bottom