Forever Living imeniachanisha na mke wangu

kweli kabisa na lazima mwanaume uwe mkali but lovely

Ukali kwa men ni nature, cuz yey ni dume la mbegu, ni Simba, popote analinda na Mungu anamuongoza. Wanawake korofi dizaini ya hadithi ya huyu mtoa mada.......mara kesi ya unyumba, mara kurudi night kali kizembe tu, mara anajisikia mara hajisikii...Bullshit...TUPA KULE. Mwanaume hachuji hata cku moja mpaka mwisho wa uhai. Hayo madume yanayolalamika daily yana homoni za kike(hayana ukali wa kuime asili). Piga chini....chukua ingine...au mpotezee, awepo kama hayupoo....afu men jiachie na mwengne laivu.

Akileta songombingo.....MPE KICHAPO CHA MMBWA MWIZI..., nguo chanika. Kwa kuwa amekudharau na bado yuko kwako.....WEW MUONESHE KUWA SASA THAMANI YAKE NI negative zero. Men hadharauliwi ivyo! Shit.
 
eeeh mpaka nimeogopa .. basi yaishe ni kweli
 
mbwa mwoga hubwekea uvunguni- wanaume hufia nje- koment zote unasutwa! we mgeni kwenye ndoa? changamka mwanaume! forever living ivunje ndoa? tutakuuliza ulikuwa wapi? utasema facebook au jf- kisu butu!
 
eeeh mpaka nimeogopa .. basi yaishe ni kweli

Usiogope mkuu miss-chagga. Me najua wew ni mtukutu na uko fasta fasta lakn wew SIO MKOROFI. Kam nimekutia presha mkuu nisamehe buuure!
I was expressing my self to yuo dear.

SIPENDI nasema SIPENDI Mwanaume legelege dhidi ya mwanamke.....Najua miss chaga na wanawake wengi hawampendi men goi goi.

Afu SIPENDI tena SIPENDI Mwanamke anayetumia **** yake kama pini ya kumbana mumewe ili awe mpole. Ama anakuwa kibri coz ya ilo tundu lake. Kwangu mie...nitamtapika papo hapo.

Mmoja alinifanyiaga ivo. Tumekutana mtaani...anasema hivi unionavyo naja kwako....kwa vile muda ule bado nilikuwa kweny mizunguko yanguu, nikampa ufunguo wa nyumbani kwangu na kumwambia...nenda nitakukuta. Ilikua mchana. Me nilirejea mawio. Wazo langu ni kuwa huyu shori anataka kunionesha jambo kwa vitendo(umuhimu wa mke).

Ile mawio niliporudi....toba! Nilimkuta shori wangu kajinyoosha on bed, anaburudika na santuri, kila nikigeuza shingo mule ndani....kila kitu kipo kam nilivokiacha. The lady ni taecher. Nikamezea. Tikastori hili na lile, nikajiandalia maji, nikaoga....kichwani najiuliza...ana nini huyu leo??? Au anaumwa??? Au ana mimba??? Wacha mimalize kuoga..nimsikilize. Ndo saa moja jioni hiyo, vya kupika na kunywa vimo humo humo ndani, wala huhitaji kutafuta kuni, nikamsogelea na kumuuliza....tutapika nin tule muda huu??? Akasema.....me hata sipiki, afu cjickii kula maana tangu nimekula mchana...bado niko fresh. Du! Nikamwambia poa. Me nimezoea kula kwa mama-nijazie, na nina njaa, vp...utaniruhusu niende nikale huko??? Akasema poa, nenda...usichelewe kurudi---NIKACHOKA.

Nilitoka pale ndani nikaenda bar, nikapata mchemsho na bia mbili...nikaamua nicheze pool table. Kichwani hata siioni taswira ya mwanamke ndani kwangu.! Hajafanya usafi wowote, haoni sababu ya kunipikia, anataka anieleze tu shida zake...na nikienda nae sawa kwenye anachosema ndo anipe ****...Shit!

Kule bar, nili-enjoy pool table hadi saa six...bar ikafungwa na mie nikapeleka maguu homie. Nilpofka homie, niligonga mlango nikafunguliwa. Shori alikuwa kafura kwa hasira kichizi. Kawaida nilimwambiaga...sheria ya chumbani kwanguuu...mke ni marufuku kuvaa cchhupi ukiwa chumba cha mimi. Alikiuka hiyo sheria cku iyo. Aliponifungulia, alirejea on bed. Me nikasaula viwalo vyangu, nami nikajitupa on bed.

Akaanza kunung'unika na kilio chenye kamasi nyepesi...eti oooh, kwa nn unamifanyia hiv, kwa nn umechelewa kurudi hadi mid-night...wew si uliniruhusu nikale kwa mama yeyo??? Haya tena, yupo kifua wazi, maziwa nje, kiunoni ana underskirt, naifunua iyo underskirt...nakutana nakaptula ya jinsi...afu mwenyewe anafunika kwa nguvu...sitaki! ebo! Nafikr ana-bleed..anasema sitaki tu...umeniuzi. Kha! Nikamuuliza kama nimekuudhi..mbona maziwa yako nje??? mbona bado upo kwangu??? mbona upo nami kitandani??? mbona mm huiona thamani yako tangu unyayoni hadi utosini...vip wew umeigawa kwamba kuanzia kiunoni kwenda kichwani umeacha wazi...maana hakuna tamani. Ila kiunoni mpaka magotini ndo pana thamani???

Kwa vile cjaona maana ya mke huyu, nilishamfuta kweny nafasi ya mke hafai. Mpaka **** ameifunika ambako anajua nitamlilia tu. NIKAMWAMBIA, kwa wew unatambua thamani yako ya kweny cchhup tu...na unajua kwa vyovyote nitakubembeleza kutaka "k" yako. BASI MIM SIITAKI HIYO KITU. Na nikachukua shuka jingne nikampa na kumwambia afunike ile sehemu ya kifua aliyoacha wazi....maana sina haja na "k". Nina haja na mtu full na "k"ikiwemo ndani ya mutu. HAKIKA SIKUMGUSA/ KUMWINGILIA. Alilia na akanyamaza mwenyew. Kulipopambazuka nikampa nauli ya daladala aende kwake. Aliendelea kuniomba msamaha..but nilishamdampu. SIJIDHARAU NA SIMDHARAU MTU. ILA UKIJIDHARAU NAKUWEKA KAPUNI...SINA HAJA NAWE.
 
Mkeo atakuwa hajui mbinu za kula na kipofu ambaye hutakiwi kumguza mkono. Kwa kuonyesha tabia ya kukudharau hajui kwamba anakugusa mkono!!!na kukufanya umsitukie
 
duh mengi ya kujifunza
 
duh mengi ya kujifunza

Vema kabisa. Pole kwa huu mchakamchaka. Maana nimaendika kama kitabu...lakn hujaacha kunijulisha kuwa unanisoma. CHANGAMOTO ZIPO KATKA LIFE....ILA NAPENDA KUJICKIA FRESH....cuz maisha ndo haya ninayoishi kwa dunia...ahera ni stori tu, hakuna mwenye uhakika. Thanx madame for xharing.
 
Mkeo atakuwa hajui mbinu za kula na kipofu ambaye hutakiwi kumguza mkono. Kwa kuonyesha tabia ya kukudharau hajui kwamba anakugusa mkono!!!na kukufanya umsitukie

Ni kweli. Ila huyo alikuwa le muchumba tuuu! Nikam'bwaga and still sijaoa. Akipatikana wa kuolewa nitaoa. Nikiwachek kwa darubini kali...viumbe hawa wa kike .....ni shida ktk hii dunia ya leo. Utulivu zero. Wanafurukuta kama mchwa....ujenzi sefuri....wanaishia kutia huruma makanisani...wamezeeka. TUNAPOTAKA KUWAOA...WANALETA CHENGA CHENGA...Wamekazana tu kusugua sura kwa vipodozi...kioo kinawadanganya...eti bado unalipa. Wanakazana kuvaa mawigu na kushindana kusukia rasta...bila kujua wanakisumbua kichwa...eti ndo wanapendeza. Wanashindana kumpata bwana mwenye mihela....wanasahau hapo wanapolundikana wanapoteza muda wao cuz hata kama ana mihela, hawezi kuwaoa nyie wote, ila anaweza kuwatumia nyie wote....na kuwaambukiza wote.

KISA CHA MAKUNYANZI USONI PA KIJANA, NI MAWAZO YATOKANAYO NA MASWALI MAGUMU YA KIMAISHA...., AMBAYO MAJIBU YAKE HAWANA NA HAWAJUI WATAYAPATA LINI....LAKINI WANAHITAJI MAJIBU HAYO HARAKA SANA....hata sasa hivi.. Ndo makunyanzi.

Uzee wa ghafula kutokana na umasikini na kutofikiwa kwa malengo muhimu katk maisha ambayo mtu aliyatarajia. Watu/wadada kwa wakaka wanatembea vichwa wameinamia chini, hawana uchangamfu, Sura zina makunyanzi---Maana yake majibu ya maswali waliyonayo kuhusu mustakabar wa maisha yao.., hakuna! SASA WANAENDEKEZA FAKE LIFE.
 
Mimi kama mwanamke wa kitanzania, na ninayejiita good feminist naona changamoto mbili tu kuhusu dada zangu na kaka zangu wanaozungumzwa hapa

baadhi ya wanawake,tumepata elimu na nafasi na uhuru wa kufanya mambo fulani ambayo mama zetu hawakuyafanya wala wale waliotutangulia....zaidi tukalelewa tukakua tukijua kuwa kuna mfumo dume na kwamba wanaume wamekuwa sehemu ya kutudumaza,kutuonea,kutudharau na kutufanya tuwe nyuma.

(Hili ni complicated kidogo nikitumia mila,misingi ya dini na majukumu ambayo wanawake tumelelewa na kuandaliwa kufanya kwenye familia).
Tumeamua basi sasa basi nasisi tutapigana kama wao,tufanye yale tunayoweza kufanya na wanaume hawakuwa kikwazo....priority hapa ikiwa ni Hela na mafanikio yanayotafsiriwa kwa yale ambayo hela inaweza kutoa.

Kitu nilichojifunza kwangu binafsi kwa wanawake ninaowatazama kwasababu ya mafanikio na heshima waliyojijengea ni kuwa mafanikio,furaha na heshima haviletwi tu na hela....katika vitu vigumu lakini wanawake tunapaswa kujifunza ni ku-balance maisha yetu ya kikazi,kifamilia na kindoa.Binafsi nimejifunza sana kwa Sheryl Sandberg COO wa Facebook na mama yangu ambaye ni mtumishi.

Mafanikio ni nini? kuwa na hela na kulala na wanaume tofauti tofauti,kuwa safarini na kuacha familia yako muda mrefu mikononi mwa watu wengine ukitafuta hela?kumuacha partner wako wa maisha nyumbani amudu majukumu ambayo kimsingi yaliandaliwa kuwa yako),kuwa na kauli za rahisi na nyepesi kama za mafanikio yangu kwanza mengine baadaye wakati ulishaamua kuwa na ndoa?
yabidi kujipanga sana na kuangalia mitazamo gani ya kubeba na ipi siyo ya kubeba.

Kwa wanaume,ukweli ni kuwa maisha yamebadilika. hatutakuwa wanawake ambao mama zetu walikuwa.hata lifestyle tu za sasa hazituruhusu. Ni muhimu kushauriana na mke/mpenzi wako ni kwa namna gani mnaweza kuishi na mapambano ya maisha ambayo sote tunayo na mwisho wa siku kuwe na mafanikio si tu ya kifedha bali pia ya ndoa yenu,watoto wenu,jamii na hata uzee wenu.

Mabadiliko ni magumu sana.kuweni sehemu ya mabadiliko,badala ya vitisho na lawama,tushauriane kwa namna ya kuenenda. ukitishia kumuacha mwanamke ambaye akili yake inaangalia tu kwamba hela ndio kila kitu na pengine alikuoa kwa uwezo wako na sasa anaona uwezekano wa kuwa na zaidi au tayari ana uwezo zaidi ya alivyowahi kuwaza na sio kingine utaumia na wewe na familia pia.

sasa ushauri wangu kwako mi nadhani,usipigishane kelele na mwanamke. Kuwa clear tu,nini unaweza kubaliana nacho na nini huwezi. mpe uhuru wa kuchagua na muda wa kufanya hilo,baada ya hapo waite washauri wenu au hata wazee weka maamuzi yako kama mwanaume na uyasimamie ukiwa umejipanga na majibu hasi na chanya kutegemeana na kile ukitakacho. Forever Living kuna wanawake wanaifanya vizuri na kwa kulinda heshima na ndoa na familia zao,usiichukie.
Very correct.
 
Usiogope mkuu miss-chagga. Me najua wew ni mtukutu na uko fasta fasta lakn wew SIO MKOROFI. Kam nimekutia presha mkuu nisamehe buuure!
I was expressing my self to yuo dear.

SIPENDI nasema SIPENDI Mwanaume legelege dhidi ya mwanamke.....Najua miss chaga na wanawake wengi hawampendi men goi goi.

Afu SIPENDI tena SIPENDI Mwanamke anayetumia **** yake kama pini ya kumbana mumewe ili awe mpole. Ama anakuwa kibri coz ya ilo tundu lake. Kwangu mie...nitamtapika papo hapo.

Mmoja alinifanyiaga ivo. Tumekutana mtaani...anasema hivi unionavyo naja kwako....kwa vile muda ule bado nilikuwa kweny mizunguko yanguu, nikampa ufunguo wa nyumbani kwangu na kumwambia...nenda nitakukuta. Ilikua mchana. Me nilirejea mawio. Wazo langu ni kuwa huyu shori anataka kunionesha jambo kwa vitendo(umuhimu wa mke).

Ile mawio niliporudi....toba! Nilimkuta shori wangu kajinyoosha on bed, anaburudika na santuri, kila nikigeuza shingo mule ndani....kila kitu kipo kam nilivokiacha. The lady ni taecher. Nikamezea. Tikastori hili na lile, nikajiandalia maji, nikaoga....kichwani najiuliza...ana nini huyu leo??? Au anaumwa??? Au ana mimba??? Wacha mimalize kuoga..nimsikilize. Ndo saa moja jioni hiyo, vya kupika na kunywa vimo humo humo ndani, wala huhitaji kutafuta kuni, nikamsogelea na kumuuliza....tutapika nin tule muda huu??? Akasema.....me hata sipiki, afu cjickii kula maana tangu nimekula mchana...bado niko fresh. Du! Nikamwambia poa. Me nimezoea kula kwa mama-nijazie, na nina njaa, vp...utaniruhusu niende nikale huko??? Akasema poa, nenda...usichelewe kurudi---NIKACHOKA.

Nilitoka pale ndani nikaenda bar, nikapata mchemsho na bia mbili...nikaamua nicheze pool table. Kichwani hata siioni taswira ya mwanamke ndani kwangu.! Hajafanya usafi wowote, haoni sababu ya kunipikia, anataka anieleze tu shida zake...na nikienda nae sawa kwenye anachosema ndo anipe ****...Shit!

Kule bar, nili-enjoy pool table hadi saa six...bar ikafungwa na mie nikapeleka maguu homie. Nilpofka homie, niligonga mlango nikafunguliwa. Shori alikuwa kafura kwa hasira kichizi. Kawaida nilimwambiaga...sheria ya chumbani kwanguuu...mke ni marufuku kuvaa cchhupi ukiwa chumba cha mimi. Alikiuka hiyo sheria cku iyo. Aliponifungulia, alirejea on bed. Me nikasaula viwalo vyangu, nami nikajitupa on bed.

Akaanza kunung'unika na kilio chenye kamasi nyepesi...eti oooh, kwa nn unamifanyia hiv, kwa nn umechelewa kurudi hadi mid-night...wew si uliniruhusu nikale kwa mama yeyo??? Haya tena, yupo kifua wazi, maziwa nje, kiunoni ana underskirt, naifunua iyo underskirt...nakutana nakaptula ya jinsi...afu mwenyewe anafunika kwa nguvu...sitaki! ebo! Nafikr ana-bleed..anasema sitaki tu...umeniuzi. Kha! Nikamuuliza kama nimekuudhi..mbona maziwa yako nje??? mbona bado upo kwangu??? mbona upo nami kitandani??? mbona mm huiona thamani yako tangu unyayoni hadi utosini...vip wew umeigawa kwamba kuanzia kiunoni kwenda kichwani umeacha wazi...maana hakuna tamani. Ila kiunoni mpaka magotini ndo pana thamani???

Kwa vile cjaona maana ya mke huyu, nilishamfuta kweny nafasi ya mke hafai. Mpaka **** ameifunika ambako anajua nitamlilia tu. NIKAMWAMBIA, kwa wew unatambua thamani yako ya kweny cchhup tu...na unajua kwa vyovyote nitakubembeleza kutaka "k" yako. BASI MIM SIITAKI HIYO KITU. Na nikachukua shuka jingne nikampa na kumwambia afunike ile sehemu ya kifua aliyoacha wazi....maana sina haja na "k". Nina haja na mtu full na "k"ikiwemo ndani ya mutu. HAKIKA SIKUMGUSA/ KUMWINGILIA. Alilia na akanyamaza mwenyew. Kulipopambazuka nikampa nauli ya daladala aende kwake. Aliendelea kuniomba msamaha..but nilishamdampu. SIJIDHARAU NA SIMDHARAU MTU. ILA UKIJIDHARAU NAKUWEKA KAPUNI...SINA HAJA NAWE.
We kweli kaxc
 
Pole sana brother, hapa ndipo tunaposhauliwa tusiwaruhusu wake zetu kujichanganya huko...hususani kwa hawa tunaowatoa vijijini.
 
Wanawake wanaweza kupandwa hata na kitoto kidogo, wenyewe akili zao ni After sio Before.
 
Tunawasubiri na wa FOREX[emoji4] [emoji4]
Forex siyo network marketing mkuu, utangoja sana.. Kila mtu anaifanya km ameielewa na hakuna cha kukusanya he la kwa flani. Ukibugi umebugi kwa uzembe au for your own risk. Binafsi nashangaa wanaofananisha forex na forex, global alliance, club9 au qnet,, mjipe mda mpitie kuhusu Haya mambo kuliko kuwahi kuhukumu.
 
Tazama majibu haya ..

Ona Hii tena

Ajabu sana.. Nimetembea humo kote mijitu imeng'ang'ania MKEO anatafunwa-anatafunwa.. Si KWEEEEELI.. Sio Sababu. Hivi Mtu kutafunwa lazima awe nje? HATA
humo Ndani wa kitafunwa Ni wa kutafunwa tu, Kwani Wewe utasubiri mwanamke akuletee bidhaa Ndo umwombe uchi?!? No way. HATA Kama anatafunwa Kwani kifanyiwa kinang'olewagwa. Si Mtu anaingiza, anamwaga vitu vyake Na kuvaa chupi Yake akaondoka, hachukui Chochote sanasana Yeye Ndo anachukuliwa, Na Mke akirudi hom Mashine iko fit, iko vile vile, Na Wewe unafanya Kama alivyofanya mteja, tena huhisi chochote, tofauti tu Ni Kwamba Kwa Kuwa mteja aliiona Kwa Mara ya kwanza aliianzia Kwa mdomo, ila Wewe Kwa Kuwa ushaizoea unapeleka tu mashambulizi sometime Ata busu hamna. Ila action hizi hazina uhusiano Na jeuri Na Kiburi Cha Mtu.

Tena Mwanamke anayetafunwa nje, Mwanamke ANAYE gawa sana kitu Yake Ndani ya ndoa Ni Mpole, anatii Kweli, anaogopa mambo Yake yasijulikane, hawezi leta vurugu Kwa Sababu akileta chokochoko unaweza kuanza ukaguzi wa Ndani Na nje ukamnasa. Hivyo anajifanya mnyenyekevu Na Mpole kinyama.. USIDANGANYIKE..

Ijue Saikolojia ya Wanawake, Mwanamke ana priority kwanye maisha yake. Ya kwanza Ni Pesa (maisha) pili Mapenzi ila mwanamme Cha kwanza Mapenzi ndipo maisha. Katika prukushani za Mwanamke kutafuta maisha(Pesa) Yuko Tayari kuolewa Na kidate Na Mtu yeyote by the name of searching good life(money). Mwanamke akisha Anza kuitia fedha mkononi, anafanya Biashara anapata fedha, ameajiriwa Mwisho wa mwezi anapokea kimshahara, anachokiita Chake .. Hapo utaona true-color Yake. Kama alikupenda akitafuta maisha Basi ameshayapata, hapo lazima ukabiliane Na dharau za Kufa Mtu. Jiulize kwanini wanawake wengi wasomi, wenye vyeo, wanasiasa mashuhuri.. Wako single au wameachika, men are no longer their priority.
Most of them wanajisahau walipotoka.
 
Back
Top Bottom