Mke wangu tangu ajuinge forever living amebadilika kabisaa kwanza amekua na jeuri na amekua haoni umuhimu wa mahusiano yake anasema hana shida na mme ni mtu wa jeuri.
Kwa sasa nimejitaidi kumusihisi abadilike hakunaa nimetumia hata rafiki zake lakini hakuna sijui kapata bwana hukoo amekua jeuri sana kabadilika sana sana yani sijui nifanye nini.
I hate foreverliving.
Tazama majibu haya ..
Wana kitu wenye wanakita mikutano ya kibiashara na mteja. Sasa wateja wengine unakuta hawana shida na hizo bidhaa wanataka huyo mwanamke, ndiyo hapo utakapoona manyoya tu. Kwanza bidhaa zao nyingi ni za gharama kwa hiyo wanaenda kwa watu wenye uwezo ndiyo huko wanapoliwa. Alafu ni biashara ya kiguu na njia. wanaliwa sana tena maofisini wakija.
Ona Hii tena
Wewe Ndo ---- Kabisa,wanaume Kama Wewe Huwa Mnanikera Sana,kwanza Nyambaf Zako,mke Wako Ana Dalili Zote Za Kugawa Papuchi Nje Ya Ndoa Wewe Unakuja Hapa Unalia,unalia Nini? Eti Mke Wangu Amekuwa Kiburi Hasikii,mpige Chini Utafute Mwingine Umekaa Kama Zoba Zoba Tu Hadi Uletewe UKIMWI Ndo Akili Ikukae Vizuri,unaposoma Huu Uzi Wangu Rudi Nyumbani Haraka Kaifukuze Hiyo Kenge,wanawake Wote Hawa Walivyojaa Duniani Kama Mchanga Wa Bahari Wewe Unalia Lia Ujinga Hapa? Au Anakutunza Huna Kazi Yoyote Au Biashara Ya Kuingiza Kipato? Kama Hakutunzi Vunja Ndoa Hiyo Ya Kijinga,imeshaingia Doa Tayari,ukiendelea Kukaa Naye Utakuja Humu Siku Moja Unataka Kujiua Yamekukuta Makubwa Zaidi.
Ajabu sana.. Nimetembea humo kote mijitu imeng'ang'ania MKEO anatafunwa-anatafunwa.. Si KWEEEEELI.. Sio Sababu. Hivi Mtu kutafunwa lazima awe nje? HATA
humo Ndani wa kitafunwa Ni wa kutafunwa tu, Kwani Wewe utasubiri mwanamke akuletee bidhaa Ndo umwombe uchi?!? No way. HATA Kama anatafunwa Kwani kifanyiwa kinang'olewagwa. Si Mtu anaingiza, anamwaga vitu vyake Na kuvaa chupi Yake akaondoka, hachukui Chochote sanasana Yeye Ndo anachukuliwa, Na Mke akirudi hom Mashine iko fit, iko vile vile, Na Wewe unafanya Kama alivyofanya mteja, tena huhisi chochote, tofauti tu Ni Kwamba Kwa Kuwa mteja aliiona Kwa Mara ya kwanza aliianzia Kwa mdomo, ila Wewe Kwa Kuwa ushaizoea unapeleka tu mashambulizi sometime Ata busu hamna. Ila action hizi hazina uhusiano Na jeuri Na Kiburi Cha Mtu.
Tena Mwanamke anayetafunwa nje, Mwanamke ANAYE gawa sana kitu Yake Ndani ya ndoa Ni Mpole, anatii Kweli, anaogopa mambo Yake yasijulikane, hawezi leta vurugu Kwa Sababu akileta chokochoko unaweza kuanza ukaguzi wa Ndani Na nje ukamnasa. Hivyo anajifanya mnyenyekevu Na Mpole kinyama.. USIDANGANYIKE..
Ijue Saikolojia ya Wanawake, Mwanamke ana priority kwanye maisha yake. Ya kwanza Ni Pesa (maisha) pili Mapenzi ila mwanamme Cha kwanza Mapenzi ndipo maisha. Katika prukushani za Mwanamke kutafuta maisha(Pesa) Yuko Tayari kuolewa Na kidate Na Mtu yeyote by the name of searching good life(money). Mwanamke akisha Anza kuitia fedha mkononi, anafanya Biashara anapata fedha, ameajiriwa Mwisho wa mwezi anapokea kimshahara, anachokiita Chake .. Hapo utaona true-color Yake. Kama alikupenda akitafuta maisha Basi ameshayapata, hapo lazima ukabiliane Na dharau za Kufa Mtu. Jiulize kwanini wanawake wengi wasomi, wenye vyeo, wanasiasa mashuhuri.. Wako single au wameachika, men are no longer their priority.