Forever gone?

Forever gone?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
1421295372220.jpg
 
Inasikitisha na kuhuzunisha sana...ndoto za hawa mabinti zimekatishwa na washenzi wachache wanaodhani Mungu ni wa kwao pekee yao na amewapa ulimwengu pekee yao...INAUMIZA SANA...

Woooooteeee kwa pamoja tuungane bila kuchoka KULAANI UPUZI HUU...

Tafakari...
 
View attachment 218698
 
Boko haram ni wahun tu kama walivyo wahun wengine kama panya road au watu wanaochota pesa za umma kwa Lumbesa
 
Inasikitisha na kuhuzunisha sana...ndoto za hawa mabinti zimekatishwa na washenzi wachache wanaodhani Mungu ni wa kwao pekee yao na amewapa ulimwengu pekee yao...INAUMIZA SANA...

Woooooteeee kwa pamoja tuungane bila kuchoka KULAANI UPUZI HUU...

Tafakari...

cc:
black widow
FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Hii mijamaa ni janga kubwa sana duniani yaani haipendi shule kabisa na ndo chanzo cha kutoweka kwa amani duniani.
 
Kwa kweli kama ni kweli wamefanya hivyo sio vizuri kabisa....

Mie nawashangaa hao boko haram na wengine wanaojiita waislam na kufanya vitendo vya kinyama hakua uislam wa hivyo..
 
Mkoroshokigoli long time no see! Happy new year
mshana jr nipo sana mdau,haya mambo ya escrow yalituficha sana,unajikuta kwenye uzi mmoja tu kwa muda mrefu.Thanks much,Allah atupe siha njema mwaka huu 2015,mwaka wa mavuno,mwaka wa vijembe,mwaka wa fitna,mwaka wa watu kupewa fulana mpya,khanga mpya,vilemba vipya na sahani za pilau,mwaka ambao watanzania watarudishiwa pesa zao wanazoibiwa kwa jina la takrima.Tupo pamoja mdau
 
Last edited by a moderator:
Alafu inasemekana wote sasa wameolewa na hao jamaa, na wanamimba nyingine mapacha. Watazaliwa Boko Haram wa kutosha hapo.
 
mabinti walikuwa wabichi kabisa hawa hata hawajaguswa.dah majaa yanafaidi si mchezo
 
we akili yako inawaza ngono tu.watu tunaumizwa na ukatili wao .wew unaleta habari kwamba wanafaidi.

Kibaya hapo ni kuwakosesha Elimu, lkn ni kweli jamaa wanawafaidi kwakuwa wanawagegeda na hata wangekuwa kitaa wangekua washaanza kugegedwa na ukute wengine tayar walikuwa wazoefu, dunia yenyewe hii
 
Kibaya hapo ni kuwakosesha Elimu, lkn ni kweli jamaa wanawafaidi kwakuwa wanawagegeda na hata wangekuwa kitaa wangekua washaanza kugegedwa na ukute wengine tayar walikuwa wazoefu, dunia yenyewe hii

Tujiweke kwenye nafasi ya wazazi ndugu na jamaa wa hawa mabinti tutakuwa na maoni tofauti
 
Kwani walikuwa wafundishwa elimu gani? Unawasikitikia wakati huenda wamefurahi kwenda kuburudisha majemedali wanaopigania dini yao, wameambiwa kitendo hicho kitawapeleka peponi,
 
Ulisikia wanawake waliokuwa wanajitoa mihanga kwenda kuburudisha wapiganaji wa Islamic State kule Libya? Tena wengi walitoka Africa, so may be it is part of the education waliyokuwa wakifundishwa maana nikicheki tu mavazi yao ndo mulemulee ...may b wangekuwa wako dini tofauti nawaliowateka ...apo ndo ingewahurumia doing something against their faith. Nisawa na Mmang`ati aolewe na Mmasai
 
walikua wakristo,ila itakua waliachiwa maana hata nigeria hii habari walishasahau
 
Back
Top Bottom