Natafuta mtu wa kuuza bidhaa za forever

Natafuta mtu wa kuuza bidhaa za forever

Hili pyramid scheme likikubali unamsahau mtu.

Kuna she nilisoma naye tumemaliza o level akatumbukia humu. Mpaka mi nafika chuo yeye tayari kajilipia mahari ili aolewe na kampa zawadi ya gari huyo mumewe Prado
 
Back
Top Bottom