The thing is sio kukimbia majukumu, wasichokitaka ni kuchunwa in the name of love. Hivi kuna mwanaume asiependa kuspend kwa mwanamke wake according to his means?ndiyo lakini hivi wanume mmekuwaje kukimbia majukumu lakini sisis tunasadia tu hivi ni nini?
Hongera kwa kuwafit. Ngoja hao wengine waje kunipa za uso. Wala sijali, lols. Nakomaa na mada yangu. Lols.
The thing is sio kukimbia majukumu, wasichokitaka ni kuchunwa in the name of love. Hivi kuna mwanaume asiependa kuspend kwa mwanamke wake according to his means?
Tatizo mi naona ni sisi wanawake kutaka vitu beyond our means so tunawachuna wanaume tusiokuwa na mapenzi nao.
Maybe am old fashioned but I will be damned if I ever ask a man for hela ya salon, vocha? NO.
Safiii. Hongera kwa uamuzi mzuri.Maneno yako yamenichomaaaaa mpakaa, kweli tupu umeongea lifestyle yetu imekuwa ya kipuuzi sana hadi mm mwenyewe najichukiakwasasa, nilikuwa na body zuri sana la mazoezi mpunga ulipoaanza kukaa vema, nikaoa, nikapata na mausafiri yakutosha, na jumba lakifahari, basi tumbo hiloooo,,, na ufanisi ukashuka asilimia 40 kitandani, asee leo ntapiga gym mpaka nizimie, atleast 3 days a week sio mbaya, asante mama kwatukumbusha na kutupenda, nimekupenda

Asante! Mtu ukiwa na mazoezi unajifurahia sana.Mi napenda kukosolewa sana kwa sababu ndio kunanifanya mtu bora zaidi kuliko kusifiwa. Kukosolewa hakunaga unafiki ila kusifiwa unafiki ni mwingi sana. Honest compliments are very limited now days.So ukiona anayekukosoa au kukurekebisha kitu; huyo ni mtu wa kumshukuru sana. LoL!You know I do love you zingi zingi eeh!
hoja zako ni za msingi.
1. Wanawake wa bongo mnanepea mpaka inakera. Utamkuta mwanamke ana tumbo kubwa sijui kitambi/mimba/ugonjwa.
2. Wamekuwa mabingwa wa kuchoropoa mimba Kila wakati. si Kinondoni si mbezi si Sinza sehemu zote za kutolea mnazijua.
3. wamekuwa rahisi kutongozwa na kudangwa na vitu vidogo. Mpaka sasa mnatoa kabang bureeee. Hamna tofauti na wanauza papuchi pale ambiance. huko maofisini mnatembeza k kuanzia mabosi, madreva mpaka walinzi. JANGA LA KITAIFA.
4. Wanawaza bia na wanaume tu. Kila usiku mnajirundika kwenye vipub na bar mkitafuta ofa.
Nitaendelea....
In addition. .. vijana wanadhani mazoezi ni kula proteins na steroids na kunyanyua vyuma na kuwa na umbo kama uterus... noo
mme mwanaume akishakuwa na kitambi napata shida kabisa naona kama nabakwa