For the lazy ass dudes

Heheeee wachane mama. Bwana mwanaume fizique si unajua mtu wangu? lots love from this side

Me love you sana sanaaaa. Miss you!:A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Karucee,working out is about discipline,commitment and sacrifice.................but it justifies the end.Thanks for your remainder Precious

Indeed. You are welcome buddy.
 

:hurt::hurt::iamwithstupid:
 
Daah umelenga ikulu muungwana alafu njemba za namna hiyo kwa lawama zisizo na mashiko awajambo!!!!
 
Daah umelenga ikulu muungwana alafu njemba za namna hiyo kwa lawama zisizo na mashiko awajambo!!!!

Hahaaaaa. Pole kwa maumivu ya kugusiwa ikulu.
 

Heri yangu,japo sina mda wa mazoezi,sinywi mibia
na situmii mitotoz
but sinenepi
 
Dah... naona hata wale wabishi wamekaa

message nzito kama ya Obama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…