For the lazy ass dudes

For the lazy ass dudes

Ila DA Karucee na weye ukiwa nyumbani mara moja moja ingia jikoni mtengenezee vyakula vifaavyo lol. Mwingine utakuta pamoja na kuijua hatari hiyo kwa Mh. Mbunge wake bado atakazana kumlisha vyakula alopika dada akatia mafuta kibaooo. Mpangie diet nzuri na kuzungumza naye juu ya madhara ya hiyo life style yake. Ikibidi sema hata uwongo, akimaliza siku moja kama hujafika kigoma 'jihudumie' mbele yake kisha akiuliza wamwagia mchele kuwa siku zote hukuacha njia panda!

There has to come a time qhen men need to take the initiative to make changes without pointing fingers at women my friend.
 
Last edited by a moderator:
Duuh halafu kama na Mimi kitumbo kimeanza...ngoja nilipie gym....kesho nianze mazoezi rasmi...asante karuce kwa kutukumbusha.
 
Wengi wao huwa wana stress ndio maana wanajikuta wamenenepa bila mpangilio.Kuna mtu hivi karibuni alinikumbusha kitu tulikua tunazungumzia stress akasema wabongo wengi wana stress ndio maana utawaona wanaspend like 4 to 6 hrs baa . Hushindwa kwenda kuona familia zao mapema sababu ya stress sasa kwa kupotezea anaona bora akae baa. Matokeo yake wanajikuta wanaongeza weight taratibu bila kujitambua.

yaani mie nikiwa na stress huwa nakonda kabisaaaaaaa nakongoroka hasa

nakuwa sinahmau ya kula kabisaaaaa na witih two days najiona mwili unavoisha
 
Mmmmmmmmmh!

MI NAOMBA KUKAZIA HAPO HAPO UNADE WA KINA LAZY BILLY!!!!!!!!! Wanaume wengi hususani WASOMI mnanisikitisha sanaaaaaaaa siku hizi. Mwanaume over 25 UNA MASTERS UNAOMBA OMBA HELA NYUMBANI/DEMU/WASHKAJI!!!!!!! Tufiakwaaaaaaaaaaa! Na elimuyako yote JUUUUUUU! It is simply OUTRAGEOUS!

Sawa HUJABAHATIKA KUAJIRIWA, ila sio ndo iwe LIFESTYLE! Kila siku wakalia nimeapply BOT, EWURA, GAPCO, sasa kuapply HOW DOES IT HELP YOUR FINANCIAL SITUATION? Na unajijua kabisaa P.O.BOX ya kufayiwa mchongo pande hizo HUNAAAAAAAAA!!!!!!!! Mwanaume unaishi kwa MIZINGA hadi washkaji WANAKUKWEPA!!!!!!!!!!

Kuchanika kwa jamvi SIO MWISHO WA MANGEZI! Sawa umesoma hujabaatika kuajiriwa, SO WHAT? Utakaa unangojea ajira milele na umri ndo unakutupa mkono.? Hata DILI za kimjinimjini zinakushinda kupiga ukae mjin kwa jeuri? REALLY? Hata kusema nichukue jiko apa niuze nyama, supu, na viazi kidogo, Ahaaaaaaaaa! WE MTHOMI BANA! Wakati kila wiki usingekosa kilo 2 au 3. Hata kuingia kariakoo udalalie mali, ahaaaaaaaaaa! We mthomi bana! Hata kuwa dalali wa nyumba basi, aaaaaaah! Mthomi wewe tenaaaa? Chukua mazao shamba huko, akuuuuuuuuu! Hio kazi ya layman.

MWANAUME SIO OFISI, MWANAUME WALLET! Wake up dudes! Mimi nimechoka jamani! Ukimpata msomi ujifuze kujibajet ndani ya huo mshahara ake milele na milele! They never think outside the box! WASIOSOMA SAIVI NDO WANACONTROL UCHUMI WA JIJI! It is so disappointing! Ukikaa na msomi anawaza KUKOPA anunue gari, na illiterate wa karakoo anawaza LINI ATASHUSHA COMMERCAL BUILDING even if it is the last thing he does before dying!

LAZY BILLY muace kutumia kisingizio sjaajira ndo maana sijatoka kimaisha! UKIWA NA 500,000 UKASINDWA KUIZUNGUSHA UPATE 550,000 BASI HATA UKIWA NA 50M HUTOWEZA KUIZUNGUSHA IZAE!

nahisi kugongea like peke yake haitoshi,embu nitupie number yako ya simu nikutupie walau vocha ya buku tano,
 
There has to come a time qhen men need to take the initiative to make changes without pointing fingers at women my friend.

I agree sweetheart, 100 % uko right its just that sometimes huwa ninashindwa kuseparatisha vitu hivi viwili, sense na maenzi. Kama unaona mtu wako anaharibikiwa (tena mtu wako unayempenda) utamwacha bila kumwambia au kumsaidia kwa kuwa unataka asimame mwenyewe? Sijui but to me I believe in helping, kama atanipuuza that is another issue.
 
Aiseeee! Karucee Asante kwa ushauri.

HUU NI MOJA YA UZI ULIO ONESHA WATU WAMEKUWA KIFIKRA NA WAMEPEVUKA KIKWELI KWELI MAANA ASILIMIA 90% WAMEKUBALI KUPOKEA USHAURI BILA KUPANIC TOFAUTI SIKU ZA NYUMA.

HUU UZI NI WAKUJENGA KABISA NAAMINI HAKITO HARIBIKA KITU.

HII NDIO MMU TUNAYO HIITAJI WATU WANATULIA NA KUPOKEA USHAURI HUKU WAKIUJADILI NA KUUTAFAKARI MAANA HAIWEZEKANI HUU USHAURI USITUHUSU SOTE.

ASANTE Karucee
 
Last edited by a moderator:
Wengi wao huwa wana stress ndio maana wanajikuta wamenenepa bila mpangilio.Kuna mtu hivi karibuni alinikumbusha kitu tulikua tunazungumzia stress akasema wabongo wengi wana stress ndio maana utawaona wanaspend like 4 to 6 hrs baa . Hushindwa kwenda kuona familia zao mapema sababu ya stress sasa kwa kupotezea anaona bora akae baa. Matokeo yake wanajikuta wanaongeza weight taratibu bila kujitambua.
ni kweli kabisa rafiki hata sababu ya mtu kuwa na tumbo inasababishwa na stress pia
 
yaani mie nikiwa na stress huwa nakonda kabisaaaaaaa nakongoroka hasa

nakuwa sinahmau ya kula kabisaaaaa na witih two days najiona mwili unavoisha
Hahahaha mdogo wangu umenifurahisha ,wengine huenda baa na mbaya zaidi huwa hawajijui kama wana stress .Hebu fikiria mtu anatoka kazini sijui saa 12 anakaa baa mpaka saa sita usiku , hii si stress jamani. Weekend ndio usiseme anaondoka home saa sita mchana na kurudi sita usiku akijua wazi kabisa kuna watoto wanahitaji msaada wake. Kwa muda huu aliotumia bila kuwa na malengo kama angeuweka kwenye mazoezi si ungemsaidia kuuweka mwili vizuri.
 
Aiseeee! Karucee Asante kwa ushauri.

HUU NI MOJA YA UZI ULIO ONESHA WATU WAMEKUWA KIFIKRA NA WAMEPEVUKA KIKWELI KWELI MAANA ASILIMIA 90% WAMEKUBALI KUPOKEA USHAURI BILA KUPANIC TOFAUTI SIKU ZA NYUMA.

HUU UZI NI WAKUJENGA KABISA NAAMINI HAKITO HARIBIKA KITU.

HII NDIO MMU TUNAYO HIITAJI WATU WANATULIA NA KUPOKEA USHAURI HUKU WAKIUJADILI NA KUUTAFAKARI MAANA HAIWEZEKANI HUU USHAURI USITUHUSU SOTE.

ASANTE Karucee
I agree my learned friend. Thanks you too, stay fit.
 
Last edited by a moderator:
Wanaopigwa kimoja cha kichovu utawajua tu! Lakini hatushangai, wewe ndiye sababu.

aiseee..........we huwa unapiga vingapi kwani!!!!!!!!!!!!!

yaani mume wangu akiwa anaenda round moja mie ndio nakuwa sababu HOW!!!!!!!!!!
 
ila da karucee na weye ukiwa nyumbani mara moja moja ingia jikoni mtengenezee vyakula vifaavyo lol. Mwingine utakuta pamoja na kuijua hatari hiyo kwa mh. Mbunge wake bado atakazana kumlisha vyakula alopika dada akatia mafuta kibaooo. Mpangie diet nzuri na kuzungumza naye juu ya madhara ya hiyo life style yake. Ikibidi sema hata uwongo, akimaliza siku moja kama hujafika kigoma 'jihudumie' mbele yake kisha akiuliza wamwagia mchele kuwa siku zote hukuacha njia panda!

hakika!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom