for the first time chit chat

Karibu mwayego! Kisha utafute mshenga akutaftie muke yako!

Btw hiyo sim ni mchina origino au?

mshenga ni baada ya kukubaliana, niujue kwanza utamu wa ngoma

huyu ni mchina original
 
khe! hata wewe pia karibu ila huku kwetu uwe una kifua maana unaweza ukajikuta umeshapandisha presha na ni marufuku kutoa siri huku waume za watu wananyumba ndogo zaidi ya 4 na wake za watu wana vidumu zaid ya viwili ukiona nyamaza
 
akuuu mimi sitasema ila nitataka nijue kinachowapigisha vikumbo wenzangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom