for the first time chit chat

for the first time chit chat

Aisee! Ngoja niendelee kujificha huku.
huku ni salama sana......kama ni halmashauri basi wilayani huko huwezi kusikia ubadhirifu wote husikika halmashauri za mijini ambako watu hukutolea mimacho
 
COPY kwa nitonye!





Naibili sisi tukitoka siasani huja hapa tunapiga soga weee mpaka tunarara na wake zetu, humu hutakiwi umvamie mke/mume wa mtu utapewa BAN fasta.


Baada ya hayo nakukaribisha rasmi kwenye Jamuhuri Ya Muungano Ya Chit-Chat ambayo mimi ndiye President.
Source: Mungi

Mheshimiwa tujulishane jinsia ya mgeni Naibili ni gani?
 
Last edited by a moderator:
Yan leo nimejikuta nimekuwa msomaji................... yale madongo ya Ben Saanane kwa Zitto ni hatari kwa afya ningepigwa BAN
Hahaha, bora manake ungepigwa BAN ningelia sana
 
Karibu mwayego! Kisha utafute mshenga akutaftie muke yako!

Btw hiyo sim ni mchina origino au?
 
Bem vindo mas velho. Huku ni kupiga sogatuuuu! Kama skani hili ni kijiwe sugu obrigado! Ate ja.
 
Heshima kwenu wana chit chat,
Tangu nimejiunga na Jf, Jan 2011, leo ni mara yangu ya kwanza kuingia jukwaa hili, inawezekana nikawa nmeshaingia, itakuwa kwa mlango wa nyuma (latest), lakini kwenda moja kwa moja chi chat hapana, sababu zaweza kuwa sifahamu utamu wa chit chat, nihabarisheni wadau wa chit chat, yawezekana nikawa mwenzenu humu.
aksante.
hapa ni kutongozana kwa kwenda mbele,karibu.
Ps: kisha ujue wengine tunafanya kweli,hata mke wangu The secretary tumefahamiana humu,na mahawara zangu wengi tu tumekutana humu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom