for the first time chit chat

COPY kwa nitonye!

Naibili sisi tukitoka siasani huja hapa tunapiga soga weee mpaka tunarara na wake zetu, humu hutakiwi umvamie mke/mume wa mtu utapewa BAN fasta.

Baada ya hayo nakukaribisha rasmi kwenye Jamuhuri Ya Muungano Ya Chit-Chat ambayo mimi ndiye President.
Source: Mungi
Sasa mume wangu kipenzi nitonye umempelekea copy ya nini?
 
Last edited by a moderator:
COPY kwa nitonye!

Naibili sisi tukitoka siasani huja hapa tunapiga soga weee mpaka tunarara na wake zetu, humu hutakiwi umvamie mke/mume wa mtu utapewa BAN fasta.

Baada ya hayo nakukaribisha rasmi kwenye Jamuhuri Ya Muungano Ya Chit-Chat ambayo mimi ndiye President.
Source: Mungi
ndiyo mana mimi mpaka leo nausoma mchezo tu huku..................na kule siasan leo kumechafuka vibaya sana
 
Mgeni karibu mwenyeji apone <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=36137" target="_blank">Naibili</a></b>
loh nilikuwa wapi siku zote miee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom