Ujinga ni kukaa mbele kwa dereva halafu unamwambia konda shusha tena kwa sauti kubwa...anayesimamisha gari c upo nae hapo...
Ni ujinga kufungua duka la kupiga tattoo sudani kusini.
ni ujinga kwa wampendao kristo kuishabikia Man u, kwani wanawapenda mashetan wekundu.