Ni Ujinga kukubali kufanyiwa kitchen party wakati ushakaa na huyo bwana na kakuzalisha watoto watatu na kabati lina mivyombo tele..kisa mnataka kuhalalisha uchumba sugu..ni ujinga kumtamani avatar ya mtu na ukaamua kumtokea ukiamini atakuwa mkali kama hiyo avatar
Ni ujinga kusema umeota wakat wewe sio MBEGU!
haa haa haa....tusemeje sasa?