Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
panaboa sana halaf utakuta asubuh ndo kuna magreda yanachimba
Ndio maana siipendi Dar.
panaboa sana halaf utakuta asubuh ndo kuna magreda yanachimba
hivi hao mawaziri nao wanapita kwenye hii foleni?
tumeganda hapa mbezi lisaa sasa na magari hayaendi!!
_
_
hii foleni ni balaa tangu saa 11.47 alfajiri niko ubungo Oilcom lakini muda wote huo hadi sa hivi 12.40 ndo nimefika ubungo plaza reporting time kazin ni saa moja na naelekea mjini lakin ndio kwanza niko hapa sijui nafika saa ngapi
huyu mwajiri atachoka kunielewa
mabasi yanayotoka stand kuu nayo yanaenda kupitia kule shekilango inazidi kuongeza msululu wa folen
nataman hata kupaa kwa kweli
Mkuu, unamaanisha boarding? itabidi kuwe na mabweni na warden...nimepita hapo naelekea mwanza na zuberi III .kwa hali niliyoiona ni heri ulale tu huko huko kazini weekend ndo urudi home.
_ni mtazamo tu
nimevuka shekilango huku mbele hakuna folen ila ngoma nitaikuta jangwan
Sasa si ndio wakati wa kazi mkuu, vumilia tu haya yote yatakwisha ngoja strabag wamalize matengenezo. Mtafurahi nyinyi, huku mabasi yaendayo kwa kasi, kule fly over, huku barabara panaaa...Dah, itakua raha sana.panaboa sana halaf utakuta asubuh ndo kuna magreda yanachimba
Sasa binti mbona kamba. Wanaokukodolea macho wamekuja kwa usafiri gani. Au wanakaa postandio nafika sa hivi had aibu kila mtu ananikodolea macho dah
Uchaguzi ukija hamtaki mabadiliko sasa mnacholalamika ni nini?
Na bado!
Mtavuna mlichopanda na mtakachopanda 2015
it's crazy njia zote zimefunga huu ujenzi na ukamilike tu
ndio nafika sa hivi had aibu kila mtu ananikodolea macho dah
Du! saa 3 na nusu hii ndio naingia mjini... toka 11 alfajiri... hii balaaa